Mjanja ndani ya kanisa..............

only83

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
5,343
2,525
Jamaa1 alikuwa amekaa KANISANI siti ya mwisho kabisa,ila pembeni yake kulikuwa
Kuna demu amekaa•Jamaa akaanza kutongoza dem huku mahubiri yakiendelea~
Mambo yalikuwa hiv=
Jamaa=Nakupenda mtot mzuri ntakupa kila ki2 utakachotaka•
BINTi=Sitaki ujinga wako
Jamaa=Hata maandiko yanasema mpende akupendae jamani•
Binti=Mbona ukuwa mgumu kuelewa kaka alafu apa tupo kanisani eeh•
Jamaa=Kazd kukomAa nambie unataka sh•ngp?? Nkupe
Binti= akamuu kupayuka kwa sauti"NIMESEMA SITAkI NIACHE"waumin wote wakageuka nyuma
Jamaa=nae kwa aibu akazuga kwa kupayuka na yy
"SIkUACHI MPAKA UOKOKE "hhha
Ety nan?Mjanja hapo??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom