Mjane... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mjane...

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mbu, Oct 24, 2009.

 1. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #1
  Oct 24, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...nauliza hivi;

  Pamoja na miongozo ya kidini (kwa wenye imani zao), inapendeza mjane aolewe baada ya muda gani?(mfano; mara tu baada ya kumaliza eda ya kufiwa?). Ungependelea mwenza wako akufanyie hivyo? :)

  kwanini unafikiri hivyo?
   
 2. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #2
  Oct 24, 2009
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0

  mimi kama mimi nicngependa kuolewa tena, kwa ambao wangependa kulewa nadhani wajipe atleast mwaka hivi ndio waingie kwenye ndoa nyingine.
   
 3. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #3
  Oct 24, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Mimi wife wangu akifa sioi tena naendelea kuwa single tu
   
 4. October

  October JF-Expert Member

  #4
  Oct 24, 2009
  Joined: Oct 5, 2009
  Messages: 2,147
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Kumaliza eda ina maanisha nini?
   
 5. Mwana va Mutwa

  Mwana va Mutwa JF-Expert Member

  #5
  Oct 24, 2009
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 429
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Kuoa au kuolewa tena inategemea na experience uliyopata kwenye ndoa ya kwanza,kama ilikuwa chungu hutatamani kurudia ndoa tena.
   
 6. m

  mchajikobe JF-Expert Member

  #6
  Oct 24, 2009
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 2,366
  Likes Received: 661
  Trophy Points: 280
  Ukweli mtupu nimeipenda sana hii!!
   
 7. October

  October JF-Expert Member

  #7
  Oct 24, 2009
  Joined: Oct 5, 2009
  Messages: 2,147
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Kuoa/Kuolewa tena inategemeana sana na mambo mengi kama Experience uliyoipata katika ndoa kama ilikua nzuri au mbaya, Umri wako vilevile ni jambo la kutazama.
  Vilevile inabidi uangalie kama una watoto au hapana na kama unao wana umri gani.
  Haya yote ni mambo unayotakiwa kuyaangalia kwa umakini kwa sababu ndoa si jambo la kuchukua mtu bila kua makini.

  Bottom line. Endapo utakua ni mtu makini wa kuzingatia hayo yote hapo juu na mengine ambayo sikuweza kuyataja sioni kama kuna uwezekano wa wewe kuoa/kuolewa tena within one year, unless huyo mwanam(me/ke) alikuwepo kwenye anga zako kinamna fulani.
   
 8. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #8
  Oct 24, 2009
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Mbu vipi bwana. Unamanisha nini hapo nilipohighlight? Kuwa wenye ndoa wawekeane taratibu kabisa kuwa mke akifa basi akae kwa muda gani mpaka aolewe tena? Au? Suppose mume ni mbabe halafu katika kukubaliana wakakubaliana kuwa ni baada ya miaka mitano. Do you think this widow will remain untouchable for those five years?
   
 9. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #9
  Oct 24, 2009
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Fidel what do you mean Sir? Wifi au Shemeji? Griiiiiiiiiiiiiiii! Uuuwiiiiiiiiiii!!!! Uuuwwwiiiiiiiiiiii!!! Leo sijatoka nyumbani kwani sijapasi nguo jana nililala late na nimeamka late!!! Mitambo ya IPTL inawashwa lini eti jamani? Uuuuwwiiiiiiiii!! Uuwiiiiiiiiiiii!!
   
 10. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #10
  Oct 24, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  I will get married in a week time mamsap akifa maana nimekuwa nikicheat all the time! hahahahah
   
 11. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #11
  Oct 24, 2009
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  i was waiting for this Sir Masanilo
  Ila kuna ombi hapa "badilisha Avatar yako" toka lini maua yakamwagiliwa kwa staili hiyo hapo?
   
 12. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #12
  Oct 24, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  HAhahah nitakayoweka itakuwa lazima uwe above 21 kuiangalia....mbona poa tu hiyo....masa alikuwa namisbehave mahali, wajanja wakampiga na mpira!
   
 13. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #13
  Oct 24, 2009
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Mmm! Duh! Husiiweeke Mkuu hiyo hapa labda iwe inaonekana kule kwenye nyumba ndogo tu na sio hapa kwenye visitors! LOL! Hujanijibu swali langu umeme wa IPTL unawaka lini? Uuwiiiiiiiiiii!! Uuwwiiiiiiii!!
   
 14. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #14
  Oct 24, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Kaka IPTL is more politik than reality....si unajua sisi hatuko serious na chochote?
   
 15. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #15
  Oct 24, 2009
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Uuwwiiiiiiiiii!! Uuuwwiiiiiiiii!! Nimelia sana kwa hili hakika leo nimepata jibu sahihi kuwa hizi ni siasa za tumbo wazi kwa ajili ya kukimu matakwa ya wazito/wanene/vingunge lakini sio kwa wabangaizaji/walalahoi na wengine wa aina hiyo!! Mbu sijasahau mada yako la hasha ila huu ni mkakati niliouanza wa kufanya political mainstraiming katika kuwaondolea Watanzania uwaoga wa Kifisi na kuhotaji lile lililo halali yao na haki yao na ni wajibu wao kuchukua na kutumia kwa mrengo ule ule wa kuondoka katika lindi la umasikini. Si hata hao wajane sasa watakuwa wanolewa within one week kama magenge yao wanayoyendesha yatakuwa hayana mwanga wa kupakulia chakula. Halafu mkumbuke................ndio wapenda wajane kweli
   
 16. G

  Greyson Nyamoga Member

  #16
  Oct 24, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Utajua tu muda wa kufanya/kutofanya hivyo mara litakapokupata la kukupata. Vitu vingine havina majibu ya jumla jumla bali hutegemea na hali halisi iliyokukuta na eneo ulipo pamoja na utamaduni wa watu wanaokuzunguka pia. Kwa ujumla muda muafaka wa kufanya hivyo huwadia na ukiwadia hakuna wa kupinga.

  Stay blessed.
   
 17. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #17
  Oct 24, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Hili swali ni very tricky; hasa pia inabidi ujiulize je ataolewa na mtu unayemfahamu au usiyemjua?? kama ni mtu unayemfahamu ina maana alikuwa akimcheki mkeo kinamna gani?

  Kwa upande wangu mimi nilishamwambia mamsapu achague analoona ni bora kwake, na kuolewa tena nilimpa kama wazo zuri kwani ni afadhali aolewe tena kuliko kuliwa na kila tom, dick and harry!!! haitaniuma kwasababu nitakuwa marehemu

  Kwa upande wangu, nikipata mwenza nitaoa, ila ntaangalia sana position ya watoto wangu hasa kama huyo mwenza ana watoto au anaweza kupata watoto!!!

  Wanawake wengi huwa hawapendi hili swali sijui kwanini?
   
 18. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #18
  Oct 24, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Wanawake wengi hata kama hawataki ..wanaujua ukweli kuwa ni nadra sana kwa mwanaume aliyefiwa na mke kubaki mgane (mjane mwanaume).Hii inatokana na experiences zilizopo.Binafsi najua wanaume zaidi ya kumi wa umri kuanzia 20s hadi 70s waliooa tena baada ya wake zao kufa.Wengine walioa mara moja in less than a year , wengine walichukua kisirisiri kwanza baada ya kufiwa na kuvuta muda kabla hawajatangaza rasmi/ bayana. Wengi wa hawa wanaume wanaooa kimsingi wanakuwa na hao wanawake hata kabla ya mke kufariki.Hivyo ni kama alivyosema Masanilo kuwa ataoa immmediately kwa vile tangu hapo alikuwa ana cheat.

  Wanawake wengi huwa hawapendi kuolewa tena na mifano imejaa tele hata mkijaribu kufikiria wanawake wajane walioolewa mtaona idada ni ndogo sana.

  Binafsi kufuatana na experiences zilizopo, sidhani ina tija kusema ati mwenza asioe..ni ubinafsi mno.Aoe tu ila siku zote nimemwambia, oa mtu wako ila asije kufaidi matunda ya jasho langu!..its a lengthy talk na tumeshakubaliana kimaandishi kabisa na documents ziko kunakohusika hivyo wala asijaribu kukiuka.Aoe hata kesho yake.INAUMA LAKINI KULIFIKIRIA HILI .....sob! sob!
   
 19. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #19
  Oct 24, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  I like your sense of humour..ila ulivyo mainstream siasa kwenye social issue umeniacha hoi!..
  MAINSTREAMING OF ANYTHING iN ANYTHING IS POSSIBLE AFTER ALL.
   
 20. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #20
  Oct 24, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,954
  Likes Received: 23,625
  Trophy Points: 280
  Hiyo bold una full support from Chris. Jitahidi usife kabla ya mumeo, lazima atavuta chombo kipya ndani.

  Hiyo red umechemka. Njoo mitaa ya kwetu nikuonyeshe wajane wawili watatu ufanye utafiti upya.
   
Loading...