Jacqueline Mengi aendelea kudondokea pua rufaa, mahakama yaondoa maombi yake ya kutaka kuurudisha wosia

Replica

JF-Expert Member
Aug 28, 2017
1,441
7,780
Mke wa bilionea, marehemu Reginald Mengi ameendelea kukumbana na vigingi vya sheria baada ya mahakama ya rufaa kuondoa maombi yake ya kupinga uamuzi uliobatilisha wosia wa mwisho wa marehemu Reginald Mengi.

Mahakama imekubali hoja za upande wa watoto wakubwa wa marehemu na kubaini viapo vilivyoletwa na Jacquline Mengi na wakili wake vina makosa.

May mwaka huu Jaji Yose Mlyambina wa mahakama kuu aliukataa wosia unaodaiwa kuandikwa na Reginald Mengi kwa madai haukufata misingi ya kisheria.

Watoto wakubwa wa Reginald Mengi walipinga wosia huo wakisema baba yao hakuwa kwenye nafasi ya kuandika wosia kwasababu alikuwa anakabiliwa na matatizo makubwa ya kiafya tangu 2016.

Familia ya Dkt. Mengi ipo kwenye mgogoro mkubwa wa kisheria juu ya mirathi ya marehemu ambao ulianza punde baada ya kifo chake huku ndugu zake wakitaka kuteuliwa wasimamizi wa mirathi.

Hukumu iliyopita, jisomee=> HAPA

Mengi.jpg


 
Dunia ya ajabu sana yaani marehemu kasahaulika watu wanagombana huku.
Basi hata kifo cha Mengi anahusika, huko Dubai ndio alikwenda kummaliza.
Mengi mara baada ya uchaguzi wa 2015, ule mwaka wa 2016 aliugua sana na hata uwezo wake kiakili ulipungua. Mengi alikuwa siyo mtu wa kujirekodi clip za video na kurusha kwenye mitandao eti akijiapiza kuwa anampenda sana huyo mwanamke.
 
Kuna wanawake na majini, Ingawa mi ni mwanamke but I can't do that kwa visivyo halali yangu dada mbona mrembo tu angekomaa tu walau apate hata tumilioni milioni tu jamani na wale watoto.

Au ndo anataka awe first woman billionaire in Tanzania? Daaah
 
Kuna wanawake na majini,Ingawa mi ni mwanamke but I can't do that kwa visivyo halali yangu..dada mbona mrembo tu..angekomaa tu walau apate hata tumilioni milioni tu jamani na wale watoto

Au ndo anataka awe first woman billionaire in Tanzania?!! daaah
Alijitoa mwili wake utumike kwa manufaa ya baadae lazima uwe na master plan km wewe ni mwanamke mwenye akili, Jana niliwaeleza watu kua ukiona mtu anamtafuta mtu wa kuanzisha nae mahusiano ujue yupo kwenye mission maalum ila wapo waliopuuza, Jack kuingia kwenye mahusiano na babu Mengi ilikua ni special mission.
 
Danga limeangukia tena pua. Yaani Mali amezikuta anataka kufilisi familia,,? Haiwezekani kabisa. Amejenga uadui na hii familia kizembe Sana. Yaani mchagga ukishampeleka Mahakamani hamtakaa mkae meza Moja milele. Kwa Heri Gold Digger. Kwa Heri International Danga. Kaendelee tu kudanga maana ndicho unachofahamu.

Na Ile kampuni Amorate Furniture uliua ukijua kuna pesa ya wosia fake. Swine mkubwa wewe. Ulitumalizia kipenzi cha watanzania. Yaani wale wamama,vijana na walemavu alikuwa anasaidia watakulaani wewe Danga Jack Ntubaliwe.

Watanzania tuna hasira na hili Danga. Mzee Mengi amechangia Uchumi wa hii nchi halafu anaenda kufia ugenini kwa utata. Ndiyo maana hukudondosha hata chozi Moja. Yaani anaingizwa kaburini hata kope hukukunja Danga. Mnaomfamu mfikishieni hizi salamu.
 
Hausiki nazo wakati mzee alishajitia kitanzi Cha ndoa na watoto kazaa nae?hilo balaa lao wanalo.wakimkataa jack Kama mke wa baba yao watamkubali Kama mama wa wadogo zao.kiufupi jack hakwepeki
Mkuu uzuri watoto watakuwa watu wazima watajiunga na ndugu zao. Hao watoto kwa wachagga hawataachwa na urithi watapewa kabisa maana hata shule walikuwa wanasomeshwa vizuri? Alipotaka kwenda kuishi Dubai kwa lile Danga lake ndiyo akaleta bill ya Ada ya kutupwa na familia Ika stop ushenzi huo. Yaani kukekule alikofia Baba yao na kulekule ambako walimkuta hayuko na mgonjwa! Ndiko huko alipanga kupeleka watoto na yeye kuishi huko.
 
Back
Top Bottom