Mjane wa Habyarimana aonja mchezo mchafu wa siasa.....

Ni jambo la kawaida,majane kugeukwa na ndugu na hata marafiki...Ndio dunia ilivyo hata katika siasa ndio usiseme.
 
mjane wa marehemu habyarimana ageukwa na maswahiba wa mumewe. kwa maelezo zaidi soma hapa chini

http://www.bbc.co.uk/swahili/news/story/2010/03/100302_habyarimana.shtml
huo wote mchezo wa kagame kutaka kulipiza visasi siku zote,yule mama alishapewa hifadhi ya kikimbizi france,then hawa wakamuundia makosa kwamba alifahamu mipango ya mumewe kuuwawa,embu fikiria kafutiwa misaada yote aliyokuwa kapewa france,na mwisho amekamatwa,mambo mengine ni ya kuona huruma tu,huyu jamaa anachokifanya hapo rwanda anakijua mwenyewe,mpaka sasa muhutu yeyote rwanda anaonekana muhalifu tu,haya sasa mpaka majenerali wake wa jeshi wameanza kumkimbia,achilia mbali maofisa wengine kibao waliotoroka na kukimbilia mafichoni,historia ya idd amin inajirudia hapo kwa wenzetu,ni hivyo tu mambo yanapigwa chini kwa chini,na muda yakija fyatuka tena,sijui nani ataamulia.
 
Kaka Kagame anataka kuwa rais wa maisha wa rwanda kwa gharama za raia wa kawaida. Unajua kuwa anawatoa maafisa wa kijeshi wa kabla la KIHUTU? Rwanda ni kama uji tu, juu umepoa ilhali chini kuna moto mkali unaoshubiri kulipuka. Mauaji mapya kutokea ni suala la muda tu.
 
Agathe Habyarimana Arrested in France for Extradition to Kigali


The widow of Rwanda's former President Juvénal Habyarimana, Agathe, was arrested in France yesterday on the basis of an international arrest warrant seeking her extradition to Rwanda to stand trial for charges related to genocide. See the story in Le Monde.
In the past year or so, several European students have refused to extradite to Rwanda on the grounds that the justice system does not provide satisfactory guarantees of fairness to an accused. Sweden, on the other hand, has agreed to extradite a suspect to Rwanda; the case is currently before the European Court of Human Rights. Courts and justice officials in Europe have been encouraged by decisions of the International Criminal Tribunal for Rwanda refusing to transfer suspects to Rwanda.
But the Prosecutor of the International Criminal Tribunal for Rwanda has suggested that the problems with Rwanda's justice system are in the course of being resolved. He has said he expects to apply again for transfer of cases to the Rwandan courts. If the judges of the International Criminal Tribunal for Rwanda support this, it will open the door to extraditions from Europe and elsewhere.
Agathe Habyarimana was in Rwanda at the time the genocide began, but was soon evacuated to France. She was widely alleged to preside over an inner circle that played a role in organizing the 1994 genocide.
 
Kaka Kagame anataka kuwa rais wa maisha wa rwanda kwa gharama za raia wa kawaida. Unajua kuwa anawatoa maafisa wa kijeshi wa kabla la KIHUTU? Rwanda ni kama uji tu, juu umepoa ilhali chini kuna moto mkali unaoshubiri kulipuka. Mauaji mapya kutokea ni suala la muda tu.
ndio ukweli wenyewe na yote niyeye atasababisha,we fikiria general in comand kayumbanyamwasa ijumaa katoroka na mpaka sasa hawajui alipo na serikali imeidhinisha msako wake na kwamba ana serious kesi ya kujibu,wakati siku zote ilikua kimya mpaka ijumaa mwisho wa kikao cha ma diplomat wote rwanda ndio jamaa katoroka usiku,sasa kama hakuotea kwamba kuna mtego kawekewa ni nini?
 
niliwahi kusema kwamba wanao msifia kagame hawamjui. Ni dikteta hakuna mfano kuliko hata mseveni, lakini ninavyojua serikali ya kitusi rwanda inaelekea ukingoni.
 
niliwahi kusema kwamba wanao msifia kagame hawamjui. Ni dikteta hakuna mfano kuliko hata mseveni, lakini ninavyojua serikali ya kitusi rwanda inaelekea ukingoni.
ndugu yangu mwisho wake si mbali maana jamaa anavyowafanyia ubaya hiyo kabila ingine inauma sana,muhutu yeyote akiwa na mafanikio kidogo hata awe wapi duniani order inamfuata nyuma kwamba ni mshiriki wa mauaji,hivyo hata hapo kwao wahutu hawana haki yoyote na wanaogopa hata kulalamika,kwanza kigali kwenyewe wahutu wanaenda kwamashakamashaka maana wanaitwa wauaji na hawatakiwi hata kuonekana,angalia sasa wafaransa walivyo wanafki,mwanzo walipitisha order ya maafisa wa juu wa serikali ya kagame tisa kukamatwa,hata yeye mwenyewe kagame alikuwemo humo,eti sasa hivi wanamkamata huyu mama,huyu mama mumewe kauliwa massacre imeanza yeye wafaransa wamemu evacuate siku ya tatu tu,na toka hapo hajakanyaga tena rwanda sasa kaundiwa mashtaka kwamba alishiriki kuandaa listi ya mauaji,inauma sana
 
hivi wanaoshtakiwa huko Rwanda ni wahutu tu? Sijawahi sikia mtutsi kahitakiwa ina maana ndo waliochinja tu mbona hata waliochinjwa wapo wahutu hata waliokuwa na msimamo mkali? Na haya mauaji ya Habyalimana yalifanywa na nani? Kama ni RPF mbona walikuwa watutsi hao? Kukamatwa kwake ni changa la macho tu!
 
hivi wanaoshtakiwa huko Rwanda ni wahutu tu? Sijawahi sikia mtutsi kahitakiwa ina maana ndo waliochinja tu mbona hata waliochinjwa wapo wahutu hata waliokuwa na msimamo mkali? Na haya mauaji ya Habyalimana yalifanywa na nani? Kama ni RPF mbona walikuwa watutsi hao? Kukamatwa kwake ni changa la macho tu!
asa RPF si ndio wako madarakani mda huu,hiyo kabila ingine inaipata fresh,lakini kwa mwendo huo kagame hafiki mbali,vita itakayofuata hapo itakua mbaya zaidi,na ndio maana kwa woga wake mda wote akijua kuna msomi mhutu mahali popote duniani anatuma arrest warrant kwamba huyo ni genocidaire anatafutwa arudishwe rwanda.
 
Back
Top Bottom