Mjamzito auawa-kuondoa aibu ya familia !!!!!

Status
Not open for further replies.
Ni ujinga wa hali ya juu.
Mambo ya dini hayo!! Kwamba wewe mama mzazi ukimpenda mtu wa dini/imani nyingine basi una hatia!! Na huu upuuzi wa kuwekeana kauzibe kwa mtu uliempenda kisa imani,akina mama ndio wahanga wakubwa!! Rejea yangu ni hapa Tanzania.
 
Dini zingine bana ni shida hata Mungu hahukumu hivyo,na kuna mwingine anasubiriwa huko Sudani ,mtoto wake aliyejifungua leo akifikisha miaka miwili atakuwa yatima,mimi naamini hakuna aliyezaliwa na dini kwa hiyo tubadilike mtu akiwa na akili timamu na kawa mtu mzima mwache dini atakayoitaka na si kulazimishana dini,wengine wanadai watawauza watoto wa shule utumwani na kuwaoza.Mungu peke yake ndio ana uwezo wa kuhukumu na sio sisi wanadamu ,sisi ni waja wake tu.
 
Watu wanashindwa kuelewa kitu kimoja. The so called "honor killings" in utamaduni wa wafursi, wapashtuni, na wahindi. Na hiki kitu kipo sana kwenye indopak culture. Uislamu umeingia kwenye hayo maeneo na kuukuta huo utamaduni ukiwepo tayari, na umeendelea kuwepo hadi leo. Ndio maana suala la kuua kwa sababu ya ndoa hata wahindu na wabudha kule India wanafanya sana tu. Sema kwa kuwa shida yenu ni kuusema uislamu, mambo kama haya yakitokea Pakistani ambako kuna waislamu zaidi basi ndio inakuwa habari kuu.

Leo hii wazaramo ambao wengi wao ni waislamu hucheza ngoma uchi. Ni haramu kwenye uislamu kucheza ngoma tena uchi. Sasa leo kwa kuwa wazaramo wanafanya hivyo ndio utasema ni uislamu wao ndio unawafanya wafanye hivyo?
Na yule mwanamke aliyehukumiwa kunyongwa juzi huko Sudan ulikuwa ni utamaduni wa wafursi, wapashtuni, na wahindi?
 
Hukumu za kunyongwa zipo sehemu nyingi. Hapa tunaongelea swala la kumpiga mawe mtu hadi kumuua kwa ajili ya kulinda heshima ya familia. Kama unataka kujadili hukumu ya kifo anzisha uzi.
 
Dini zingine bana ni shida hata Mungu hahukumu hivyo,na kuna mwingine anasubiriwa huko Sudani ,mtoto wake aliyejifungua leo akifikisha miaka miwili atakuwa yatima,mimi naamini hakuna aliyezaliwa na dini kwa hiyo tubadilike mtu akiwa na akili timamu na kawa mtu mzima mwache dini atakayoitaka na si kulazimishana dini,wengine wanadai watawauza watoto wa shule utumwani na kuwaoza.Mungu peke yake ndio ana uwezo wa kuhukumu na sio sisi wanadamu ,sisi ni waja wake tu.

Islamic isingekuwepo dunia ingekuwa amani tupu
hakika ni dini ya shetani
 
Roho uwa inaniuma nikiona Dada zetu waki uwawa
Yani kwa ujumla jamii ya kike inaonewa kwenye jamii ambazo hazija elimika
 
Watu wanashindwa kuelewa kitu kimoja. The so called "honor killings" in utamaduni wa wafursi, wapashtuni, na wahindi. Na hiki kitu kipo sana kwenye indopak culture. Uislamu umeingia kwenye hayo maeneo na kuukuta huo utamaduni ukiwepo tayari, na umeendelea kuwepo hadi leo. Ndio maana suala la kuua kwa sababu ya ndoa hata wahindu na wabudha kule India wanafanya sana tu. Sema kwa kuwa shida yenu ni kuusema uislamu, mambo kama haya yakitokea Pakistani ambako kuna waislamu zaidi basi ndio inakuwa habari kuu.

Leo hii wazaramo ambao wengi wao ni waislamu hucheza ngoma uchi. Ni haramu kwenye uislamu kucheza ngoma tena uchi. Sasa leo kwa kuwa wazaramo wanafanya hivyo ndio utasema ni uislamu wao ndio unawafanya wafanye hivyo?

Sijakuelewa vizuri mkuu! Ni nini Fundisho na msimamo wa dini ya Kiislamu katika kukomesha mateso haya? Iwapo wako tayari kupambana hata kuua katika hali kumtetea Mungu wao! Kwa nini mahakama ya kiislamu katika hili haitoi msimamo au tuite maamuzi magum? Nahisi hata hapa kwetu dini na mambo ya mizimu ya kucheza uchi vina mahusiano ya ndani. Na ndo maana ukanda wa ngoma za kukaa uchi ni huu huu iliokaliwa na uislam kwa muda mtefu ni aibu kuharalisha mauaji haya katika maeneo yanayodaiwa kuwa na uislamu mkubwa.
 
Watu wanashindwa kuelewa kitu kimoja. The so called "honor killings" in utamaduni wa wafursi, wapashtuni, na wahindi. Na hiki kitu kipo sana kwenye indopak culture. Uislamu umeingia kwenye hayo maeneo na kuukuta huo utamaduni ukiwepo tayari, na umeendelea kuwepo hadi leo. Ndio maana suala la kuua kwa sababu ya ndoa hata wahindu na wabudha kule India wanafanya sana tu. Sema kwa kuwa shida yenu ni kuusema uislamu, mambo kama haya yakitokea Pakistani ambako kuna waislamu zaidi basi ndio inakuwa habari kuu.

Leo hii wazaramo ambao wengi wao ni waislamu hucheza ngoma uchi. Ni haramu kwenye uislamu kucheza ngoma tena uchi. Sasa leo kwa kuwa wazaramo wanafanya hivyo ndio utasema ni uislamu wao ndio unawafanya wafanye hivyo?

Ahsante umeeleza vizuri sana.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom