Mjadara waBunge kuhusu wizara ya ulinzi

Isimilo

JF-Expert Member
Aug 16, 2007
217
7
Bunge limeibuka nakuonyesha kuguswa sana na wizara ya ulinzi hasa sehemu ya jeshi la wananci wenyewe.
katika uchangiaji wao wabunge mbalimbali wameibuka na kauli ambazo kwa namna moja au nyingine zilionyesha kuguswa kwao na yanayoendelea katika uendeshaji wa jeshi hilo.
mbunge mmjoa pamoja na kuonyesha concern kubwa kuhusu uonevo wanaofanyiwa wanajeshi alisema
"unawezaje kumpa mtu anayekulinda lesheni ya sh.2500 kama mulo kwa siku je si kwamba atapiga risasi na kwenda mzima mzima na hoy bunduki.
mwingine kasema "mkuu wa majeshi unapotoshwa na wanadhimu wako.wakurugenzi wote tisa wa jeshi la wananchi hakuna hata mmjoa anayetoke Zanzibar"
mwingine kasema jeshi " wanajeshi wanamoishi mule ,wengine kwenye magodauni ukiingia dakika tano unatiririka jasho mwili mzima je itakuwaje kwa mtu ambaye analala kutafuta watoto humo ndani-kicheko."
mwingine kasema wnajeshi walidhalilishwa sana kuhusu kutanfgaziwa waziwazi kwamba walipe nauli kwenye dala dala. alidai ni udhalilishaji mkubwa wa jeshi wakti yeye mweynewe aliyepitisha tangazo hilo angaro lake kuubwa na analitumia peke yake.akakatwa kauli na spika kwamba lifurahia snana kusikia wanajeshi wanagoma kulipa nauli.
 
Back
Top Bottom