Mjadala wazuka kuhusu afya ya akili ya Rais Donald Trump

Hizo fake news channels na magazine huwa sifungui kusoma wala kuangalia! Mi kila siku ya napata info from trump himself anachofanya and everything he talking so hayo ya kusoma kasome wewe uendelee kuwa brainwashed
Ahaa! Ulimwona alivyokanushwa kiwaziwazi akajikanyaga kwenye conference ile? Kama hutaki kusoma sawa. You are completely brainwashed kiasi kwamba huwezi kuona hata uwongo ulio dhahiri unaotoka mdomoni mwake. Unapaswa kuwa critical thinker and not just take anything you hear from Trump.
 
Wale waleeeee miaka minne msubirie iishe, mlitusumbua na vipolls vyenu tukawapiga kipigo cha mbwa mwizi na media zenu sasa mnajitahidi kuokota okota hoja kila siku ili mradi muoneka e mpo. Mwenzenu clinton kwa mziki wa Donald katulia maana anajua the new sherrif is back in the house!
 
Tanzania kama tuna viongozi vichaa basi wanaowachagua watakuwa vichaa zaidi
 
Wale waleeeee miaka minne msubirie iishe, mlitusumbua na vipolls vyenu tukawapiga kipigo cha mbwa mwizi na media zenu sasa mnajitahidi kuokota okota hoja kila siku ili mradi muoneka e mpo. Mwenzenu clinton kwa mziki wa Donald katulia maana anajua the new sherrif is back in the house!
Kama kujadili tujadili, huu si ushabiki wa mpira. Eti "mlitusumbua sana na vipolls vyenu." Nina mashaka kama hata unaelewa nini kinaendelea. Maana ulisema pale mwanzo wewe husomi unasikia tu maneno ya Trump basi tayari kakukonga moyo. Hivi unajua ilikuwaje Trump kapata kura nyingi zaidi sehemu ambazo Hillary hakupata. Unafahamu ni watu wa namna gani waliompigia kura. Ni watu kama wewe.
 
Ni watu kama mm ambao wanayo haki ya kuchagua kiongozi wao so whats wrong with that? Ww huwezi nipangia niwe fan wa nani it's my choice and not yours
 
Sidhani kama Trump ni mgonjwa wa akili. Unajua aina ya maisha ya Trump aliyokuwa anaongoza kabla hajawa president ndiyo hayo hayo ameyahamishia ikulu. Muda na changamoto za uraisi zitamfundisha mambo mengi. Kumbuka Trump alikuwa anaishi lavish lifestyle.....kila siku kukutana na warembo na celebrities, kunywa mvinyo (labda na cocaine pia) sasa haya yote yamechangia sana yeye asiwe mtu wakutuliza kichwa na kupata muda kujiridhisha kwenye kile anachotaka kusema. Pale Trump Tower ni anasa tu. Ukiwa na utajiri over 4 billion Dollar huwezi hofia lolote. Na aina ya maisha ya Trump lazima akili iwe tenge kidogo. Wamarekani wasijali wasaidizi wake watamsaidia kuongoza nchi.

Trump hata sigara havuti, harufu ya pombe hataki kuisikia na familia yake yote.
 
Sio Trump tu, hata waliompigia kura nao wengi sana wana matatizo ya akili.
 
Salaam

Kuna Jambo tunatakiwa tujifunze kwetu sisi Waafrika, hususani Viongozi wetu kukosolewa. Ni juzi tu, tumepata taarifa kuwa Wamarekani wameandaa mpango wa Kumpima Akili Rais wao (Trump) kutokana na mambo anayofanya ama kutamka kuwa yana walakini kwa mstakabali wa Taifa hilo Kubwa Dunia Kiuchumi na Dunia kwa Ujumla.

Mpaka leo hii sijasikia habari ya kukanusha kwake kuwa hapimwi, kimya maanake itafanyika hivyo. Je, kwa Nchi Zetu za Afrika na Ngozi yetu nyeusi, Viongozi wetu wanaweza kuafiki Jambo kama hili, yaani apimwe bila Kusweka watu ndani watakaoanzisha wazo hilo?

Karibuni kwa Mjadala.
 
Hata Mungu wa Dar huwezi kumpima wala kuzungumzia kumpima sembuse Mungu wa nchi
 
Back
Top Bottom