MJADALA WA UMEME ITV: Renatus Mkinga apotezwa ghafla

Inavyosemekana waliona yuko very critical..naskia mzee mwenye ITV alipigiwa simu na kuelezwa ile ule uchangiaji una hamasisha watu negatively ...Still waiting for more info regarding kama hata alipewa kiburudisho kabla hajaondoka
 
Wajemeni ITV ni mali ya Mengi ambaye ni mwana CCM, na CCM ni chama sha mafisadi, naye mengi ni fisadi tu kama kina RA,EL,JK na wengineo.
 
Inavyosemekana waliona yuko very critical..naskia mzee mwenye ITV alipigiwa simu na kuelezwa ile ule uchangiaji una hamasisha watu negatively ...Still waiting for more info regarding kama hata alipewa kiburudisho kabla hajaondoka

Tupe habari maana inatisha kuona watu wanaalikwa then wakichangia negatively, wanaanza kufungwa mdomo.

Tunaomba huyu mzee kama kweli alifanyiwa hivyo atupe wafuasi wake taarifa kupitia mtandao huru kama JF.



Katiba mpya lazima.
 
Kwa mtindo huu wa watu kufungwa midomo, inabidi tuanzishe chombo cha Habari ambacho kitakuwa kinaendeshwa na wapenda nchi kwa manufaa ya watanzania wote na siyo CCM au Chadema au CUF pekee. Naomba tuanzishe JF TV na JF Redio tuwe tunarusha maoni yetu hewani moja kwa moja
 
Ni kweli Mzee Mkinga alipotea ghafla na kiti chake kukaliwa na MLAKI, sifahamu nini kilitokea mpaka waulizwe waandaji wa kipindi, specifically CHUWA wa ITV. au journalist Kibanda wa Tanzania Daima. nilipenda Mzee Mkinga alivyochangia jinsi ambavyo nchi hii imebarikiwa kuwa na vyanzo vingi vya umeme ambavyo serikali inashindwa kuwekeza fully. Stiglers Gorge,Makaa ya mawe Mchuchuma,Ruhiji to mention
 
Wajemeni ITV ni mali ya Mengi ambaye ni mwana CCM, na CCM ni chama sha mafisadi, naye mengi ni fisadi tu kama kina RA,EL,JK na wengineo.

Tafuta kitabu kinachoitwa "Mein Kampf" usome jinsi watu wanaojifanya Patriotic wa nchi kuliko wengine wanavyoangamiza nchi. ukimaliza kusoma hicho niambie nikupe home work nyingine.
 
Thats is what happens to Tido, kuruhus chombo cha ssm kuhamashisha wapinzani. Kwa mwandiishi makini kama huyu haweza kusikiliza utumbo wa serikali wakati yeye ni proffessional.
Ndiyo kama ya huyo mzee wa jana, nafikiri walimchkachua baada ya kujua analeta gozi gozi anaenda kinyumbe na wenye vyombo vyao. Penye ukweli hakuna haki.
 
Lakini alichochagia ingawa kwa muda mfupi watazamaji tumekipata.Bahati mbaya hawana uwezo wa kukifuta vichwani mwetu.
 
hey guyz who is this men!! I just saw him in Kongamano la katiba na kachangia hadi kanipa raha!! Who exactly is this men..??
 
Mbona nakumbuka nilimuona hadi mwisho wa kipindi kilipofungwa? Waliokuwepo studio please assist
 
Mbona nakumbuka nilimuona hadi mwisho wa kipindi kilipofungwa? Waliokuwepo studio please assist

Wenzio wanzungumzia ule mjadala wa tarehe 30/12/2010 uliohusu kupanda kwa bei ya umeme. Soma vizuri mwanzo wa thread hii. Mjadala wa jana kuhusu dowans alikuwepo mwanzo hadi mwisho
 
hivi MS huwa ni mhuni au punguani huwa achangii mada halisi ila kuivuluga, na hii ni kwa sababu wanakula naye damu za wavuja jaso, MS ana mkono wa Damu wa watetea haki wa Arusha juu ya utawala wa Mabavu, akumbuke kuwa katiba ni Lazima, na nchi hii itarudishwa kwa Umma. Saa ya Ukombozi ni sasa, na vijana wa Taifa la leo awaachi kitu
 
We mod vipi? Unaanza kucheza na akili zetu sivyo? Unatuwekea matukio ya nyuma kutuchanya na la jana maana jana mkinga alikuwepo kwenye kipindi akishusha nondo mpaka mwisho. Nimekusamehe bure japo nilishapoteza muda kufuatilia tread.
.
 
mimi nimeangalia kipindi hadi mwisho na washiriki walikua watatu akiwa ni mkinga, docta na presenter wa itv, kwani kuna uwezekano waa kurusha picha mara mbili kwamba watu wa eneo fulani waone real wakati wengine wamefichwa...mi nipo mwanza na nimefuatilia hadi mwisho japo nilikuta tayari kipindi kinaendelea.kama alipotezwa labda ni pale mwanzo tu,.
ila mkinga namkubali data zake ni za uhakika kweli na anazitoa bila woga wowote
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom