TUSHIRIKISHANE Mjadala wa Mipango ya Maendeleo kwa Jimbo la Kigoma Mjini

Tulitembelea Mradi wa Mgumile tarehe 30/01/2017 Wajumbe wa Kamati ya fedha na Uongozi na Mstahiki meya wa Manispaa ya kigoma/Ujiji Ndg.Hussein juma Ruhava,Athumani luga,Yunusi Rashidi,Hussein kalyango,Butije Hamis,Foad sefu,Hadija mvano na Hawa Ngai kuangalia na kukagua sehemu itakayojengwa Mradi wa MAJI safi na salama mtaa wa Mgumile na kata ya Kagera kama utekelezaji wa Ahadi ya Mhe. Mbunge wa kigoma mjini Zitto kabwe na Mhe.Diwani wa kagera Ismail Mahamudu.

Mradi umeanza tarehe 01/02/2017 mpaka tarehe 30/07/2017 kwa Gharama ya kiasi 548,000,000/= sasa Vifaa vimefika na Mradi unaendelea ujenzi kutimiza Ahadi ya kampeni zilizotolewa na Mhe mbunge na Mhe.Diwani.
Wakazi wa mtaa wa mgumile na kata ya kagera.
FB_IMG_1492990490621.jpg
FB_IMG_1492990492836.jpg
FB_IMG_1492990495317.jpg
FB_IMG_1492990498433.jpg
FB_IMG_1492990501804.jpg
 
Hii nzuri sana. Ninaomba kujua mchango wa JF katika kufanikisha ahadi za wabunge wa kuchaguliwa. Maana najiuliza kwa nini hadi wawekeane sahihi?
 
Back
Top Bottom