Mjadala wa kodi ya VAT ITV

mkachu

Senior Member
Dec 20, 2012
136
42
Natazama kipima joto naona kuna jamaa anashindwa kutafsiri sheria ya Kodi vile
 
Jamani bidhaa za bank ni zipi? Au tuseme hivi bank wanauza huduma zipi? Je bidhaa/huduma hizi hazistahili kukatwa kodi?
 
Yule jamaa wa pembeni kushoto anasoma kwenye kitabu cha sheria ya VAT, lakini yule anayejiita mtaalamu wa uchumi haelewi, kitabu kipo pale lakini haelewi, du hatari Sana.
 
Yule mtaalamu wa Chuo Kikuu anaelewa lakini mahaba ya mwendo kasi yanamfanya apotoshe
 
Back
Top Bottom