StingRay
JF-Expert Member
- Jun 28, 2014
- 503
- 628
Sheria inamtaka mzazi kumhudumia mtoto mpaka atakapofikia utu uzima yaani kikawaida kabisa ni miaka18 na baada ya hapo ajitegemee lakini hii ya kulazimishwa kumsomesha mtu mzima hadi chuo kikuu ni sawa au uonevu na uvunjaji wa katiba.
Kwakweli wahusika wameshindwa kujibu hoja za msingi wamebaki vitisho tu mara waliosoma private, mara leseni za biashara....hamna msimamo wala uhalisia katika majibu.
Hivi hizi bad politics mpaka lini??? Wenzetu majirani wanakimbia kimaendeleo sisi kila kukicha tuanatafuta kumtesa nani na kumkomesha.
Hivi ninyi wazee mkopo wa elimu mnapatia mzazi/wazazi au huyu mtu nzima atakayelipa yeye mwenyewe???? Hizi ni mwendelezo wa dalili za srrikali kukwepa majumu yake ya kutoa huduma kwa wananchi wake bila ubaguzi....
Mjadala wa elimu sasa ni lazima haukwepeki.........