Mjadala wa Kitaifa juu ya ukuaji wa Sekta ya Madini na mchango wake katika maendeleo ya Wananchi

MIMI BABA YENU

JF-Expert Member
Mar 1, 2019
295
679
Zoom Saturday

Watch Tanzania inakualika kushiriki Mkutano wa Zoom utakaofanyika Disemba 18, 2021 (Jumamosi) kuanzia saa 10 kamili hadi 12:30 jioni.

Mada: Mjadala wa Kitaifa juu ya ukuaji wa Sekta ya Madini na mchango wake katika maendeleo ya Wananchi

Muda ukifika utaweza kujiunga na kushiriki moja kwa moja kwa kubofya hapa ~ shorturl.at/gimCF

Au kupitia
Meeting ID: 824 0845 5769
Passcode: 372118

Mkutano huu utarushwa mubashara (Youtube) kupitia EATV, Millard Ayo, Clouds Digital, Global TV Online, Dar Mpya TV, TBC Online, Mwanahalisi Digital, Mwananchi Digital, EFM Digital, Star TV, Saangapi TV, Daily News Digital, ITV na Azam TV.

Karibu tujadili mchango wa Sekta ya Madini katika maendeleo ya Taifa letu na Wananchi wake. Usikose!

WhatsApp Image 2021-12-17 at 09.36.20 (1).jpeg
 
Back
Top Bottom