MAGALEMWA
JF-Expert Member
- Jul 8, 2015
- 6,415
- 4,881
Kila la kheri mahasimu wetu chadema.......
Tunawashauri mje na mtu potential manake ngosha keshawapoteza sana.....
Hali ni mbayaa....! Wacha tuuu
Ndo imetoka ICU, ajali ya October 25 2015 ilikuwa mbaya sana
Umetoka ICU ya Mirembe. Umejaribu Namba isiyo sahihi omba msaada wa "operator"