wadau wazanzibari wanauchambua muungano,walio wengi wanaonekana kuupinga muungano wako tayari kujitoa,wao wanaitambua Tanganyika ambayo sisi ni uhaini kuitaja
Hivi tunawabembeleza nini?
huku tayari watu wa megawati wamefanya mambo yao tangu saa 3 na robo.
ila naunga mkono hoja...hakuna haja ya Tanganyika kuendelea kuwa koloni la mamwinyi wa Zanzibar.
waacheni waendelee na mambo yao ya OIC na Kadhia.
Mjadala wa muungano ni mkali kweli,wazanzibar wanasema muungano huu ni haramu kwa sababu mikataba haionekani na wala serikali ya Zanzibar haina mikataba zaidi ya picha ya kuchanganya udongo kati ya Nyerere na arume!
aki muuKama watoa mada wa Zanzibar wanasema kwa kauli moja kuwa hawataki muungano, wale wabunge watatu waliomshambulia Mh. Tindu Lissu hadi kufikia hatua ya kumdhalilisha yeye (Lissu) binafsi walitumwa na nani? Walikuwa wanawakilisha mawazo ya nani?
Naunga mkono hoja kwa dhati kuu.Mjadala wa muungano ni mkali kweli,wazanzibar wanasema muungano huu ni haramu kwa sababu mikataba haionekani na wala serikali ya Zanzibar haina mikataba zaidi ya picha ya kuchanganya udongo kati ya Nyerere na arume!
Sio Wazanzibari tu wanahisi wananyonywa, hata mimi Mtanzania bara najua ninanyonywa.... Kwa kuwa wanahisi wananyonywa basi tutengane tubaki na Tanganyika yetu
jamaaa,wanadai kama tunataka kujadili katiba mpya na wao,tuitafute kwanza tanganyika bara,wao zanzibar wanayo tayari,lakini wamesema mkataba wa mungano ni haramu kwa sababu haupo ni sawa kuhararisha nguruwe kwa waislam,wanadai patachimbika!
Muungano hautavunjika kwasababu ya wazanzibar wakuu..
Muungano utavunjika siku wakigundua mafuta...
Na atakayevunja muungano ni west power (americans) ili mfarakane..waibe mafuta..
Zanzibar watapewa military support hamtawezi kupambana nao...
Neema yetu ndio mwisho wa umoja ..watch out...