Mjadala wa katiba Zanzibar, Muungano haramu wanadai Startv Live

mhhhhhhhhhh
mambo hayooooooo
hivi watoa mada ni member wa CCM au CUF au ni raia tu?
Tafadhali mnijuze nichangie vizuri
Maana walimshambulia sana Lissu
 
mhhhhhhhhhh
mambo hayooooooo
hivi watoa mada ni member wa CCM au CUF au ni raia tu?
Tafadhali mnijuze nichangie vizuri
Maana walimshambulia sana Lissu


Lusu hakushambuliwa kwa kua hautaki muungano bali alipingwa kwa kutaka wabunge wa zanzibar wasihudhurie vikao vinavyo husu mambo ya bara,na kuchukua posho za vikao ambavyo wao wahatachangia.
Swali linakuja: Niyepi mambo yalioorodheshwa kua si ya muungano,katika katiba iitwayo ya Jamuhuri ya muungano?
Tatizo hapa ni katiba ya Tanganyika iliorekebishwa kwa malengo ya kuwasahaulisha watu kua zilizoungana ni nchi mbili,nakama katiba Tanganyika haikuvaa koti la muungano basi hoja ya Lisu ingalikua na mashiko.
 
lussu si mbatata tu, na alipata khabari yake

usichokoze waliokuwa wapole wakifunguka utakimbia
 
wale wale wanaofaidika na muungano, huku mnauma huku mnapuliza, siku muungano uki expire ndo mtajibeba huko zanzibar.
 
Nchi hii inaliwa na watawala kwa visingizio vingi sana. Usawa haupo kabisaaa, Wabunge wengi wa ZNZ wapo kwenye muungano na kuamua mambo ya waBara, Kuhusu kuishi bara wapo wengi sana watu toka ZNZ waliochukua maeneo ya kuishi huku Bara, Lakini Mbara haruhusiwi hat kidogo kumiliki ardhi ZNZ usaw uko wapi, Muungano una faida ya nani hapa ni CCM tu. na % yao. wale wa CDM mimi naunga mkono sana hoja zao kuhusu hili la muungano . Hii uswa wa nusu kwa nusu, inamnufaisha CCM tu na wanafiki wake. Tuamke Tulichunguze kwa umakini hili. moto umeanza kfukuta sasa. tusingoje ya Palestina na Isreal yaje kwetu hapa yalianza kidogo kidogo sasa ni mzigo mzitoooooo. AMKENI TZ MTAFUTE HAKI YENU>
 
Back
Top Bottom