Anna Nkya
Member
- Oct 21, 2021
- 69
- 341
Walianza na kile walichokiita Kongamano la Katiba. Kongamano lilikuwa linatawaliwa na bendera za CHADEMA, na kuonesha kwamab ni movement ya CHAMA wala haina uhalali na mashiko mbele ya Watanzania wengi.
Halafu unakusanya watu, wanatoa maoni juu ya nini kiandikwe kwenye Katiba Mpya wakati huna mahali ambapo utakipeleka.
Pia, sehemu kubwa ya mambo wanayoweka mbele wanaposema wanataka Katiba mpya yanahusu wao kukamata nchi. Maslahi, uchu na kiu ya kisiasa vimetangulizwa kwenye hili.
Kwa ujumla mjadala wa Katiba mpya ni mjadalka wa wanasiasa, na watu wachache hasa kupitia Twitter. Wanaliendesha jambo hilo katika namna ya siasa kama kusaka madaraka tu. Wamejaa matusi, kejeli na kukosa ustaarabu.
Ndio maana unabaki mtandaoni tu, mtaani husikii kitu hizo labda kwa wanachama wachache wa Chadema
Kama alivyosema Rais Samia, suala la Katiba Mpya lapaswa kusubiri. UZURI LITASUBIRI MPAKA HAPO RAIS ATAKAPOONA LINAFAA