Mjadala wa Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi hautazimwa kwa kumfunga Freeman Mbowe

Gaidi Mbowe limetulizwa Segerea, nchi nzima ipo shwari na utulivu wa haja, jioni tunashushia nyama choma saaafi na beer baridiii.
Ni kweli Mbowe Yupo korokoroni, lakini corona iliyo wafanye muwe yatima na wajane, ipo mtaani, Angalia sana, hasa wakati ukibugia minyama na kushushia na hiyo bia baridi!
 
Back
Top Bottom