Mjadala: UKAWA ina uhalali wowote kuendelea kuwepo?

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,950
29,532
Baada ya Suala la katiba mpya kuwekwa kapuni na uchaguzi mkuu kwisha.

Je kuna uhalali wowote wa kisheria au kimantiki kwa umoja huu kuendelea kuwepo?
 
Hivi kwani chaguzi na marekebisho ya katiba havitatokea tena Tanzania. UKAWA bado ina umuhim uwa kuwepo tena inapaswa kuongeza nguvu
 
Kwa vile wanachokipigania bado hakijakamilika na kwa vile uwepo wao unaisukuma serikali kuwajibika zaidi, kazi yao haishii kwenye katiba tu na baada ya uchaguzi kwa maana siasa ni kitu endelevu na si cha msimu.
 
Kwa vile wanachokipigania bado hakijakamilika na kwa vile uwepo wao unaisukuma serikali kuwajibika zaidi kazi yao haiishii kwenye katiba tu na baada ya uchaguzi. Siasa ni kitu endelevu na si cha msimu.
Ni kwa namna gani haswa wataoperate ikiwa malengo yao yote yamekwama?
 
Lengo la kuanzishwa UKAWA Ni kupigania katiba,lengo halijafikiwa bado
 
Kwa vile wanachokipigania bado hakijakamilika na kwa vile uwepo wao unaisukuma serikali kuwajibika zaidi, kazi yao haishii kwenye katiba tu na baada ya uchaguzi kwa maana siasa ni kitu endelevu na si cha msimu.
Umesikia mzee duni keshafungasha vilago? Hali tete
 
Back
Top Bottom