Mjadala : Tunasubiri nini kumpa nafasi Shaffi Dauda kuongoza TFF?

Kuna uthibitisho kwamba jamaa ni Yanga? Mbona wengine wanasema ni Simba?
Pale FA uingereza kuna watu ni arsenal, man u au Chelsea na mambo yanaenda
Jamaa ni simba damu, binafsi natamani siku moja niwaone kwenye uongozi wa tff tena kwa pamoja, Ali Mayay, Aaron Nyanda, Shafii Dauda, Eddo Kumwembe
 
Back
Top Bottom