Mjadala : Tunasubiri nini kumpa nafasi Shaffi Dauda kuongoza TFF?

endesha

endesha

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2015
Messages
824
Points
1,000
endesha

endesha

JF-Expert Member
Joined Dec 9, 2015
824 1,000
Kuna Ally Mayai pia.Watu wenye Vision Lakini sasa kupata nafasi kwa jinsi mizizi ya kugombea ilivyoingia ndani ni kazi mno.TFF kwa kipindi cha karibuni ukimuacha Tenga kidg hawajawahi kupata mtu Sahihi wenye kutoa dira kuhusu mchezo huu unaopendwaa na mamilioni ya watu wa kiila rika na kila Jinsi
 
I

ilala yetu

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2015
Messages
332
Points
250
I

ilala yetu

JF-Expert Member
Joined Apr 10, 2015
332 250
Katika Ubunifu na utekelezaji sina shaka shafii ni mtu sahihi Tatizo lake ni mnazi wa Yanga aliyepitiliza hafichi mapenzi yake jambo ambalo si zuri kwa kiongozi
alafu wengi msichojua ni kwamba shafii ni shabiki kulia lia kabisa wa simba tangu na tangu na kashawai kua mmoja ya mascot wa simba enz za kina mulami ..ndo mtu alimletaga Joseph owino simba,,...matatzo yake na viongoz wa simba na kuminyiwa mirija yake ya ulaji ndo yalosababisha mabifu bifu hayo .ila shafii ni shabiki wa simba kindaki ndaki
 
kombaME

kombaME

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2015
Messages
1,299
Points
2,000
kombaME

kombaME

JF-Expert Member
Joined Aug 24, 2015
1,299 2,000
Mchambuzi wa soka kwenye media sio management ya soka, wenye kumbukumbu mnajua kuwa baadhi walishampendekeza Dr. Rick apewe ukocha wa Taifa stars!
Shafi anafit sana hapo alipo na ndio maana mchango wake unaonekana dhahiri. Ukimuuliza anaweza kukueleza kwa usahihi ni nani (akina nani) anastahili kuongoza mpira wa Tanzania au hata ni structure gani itumike.
Case closed
 
Abunwasi

Abunwasi

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2009
Messages
4,747
Points
2,000
Abunwasi

Abunwasi

JF-Expert Member
Joined Jun 25, 2009
4,747 2,000
Nimekaa na kutafakari sana juu la hili jambo, Shaffi Dauda ameweza kufanya vitu vingi Sana kwenye mchezo wa soka hapa nchini,
Nakumbuka mwaka 2014 aliweza kubuni soka la ufukweni wakishirikiana na TFF pamoja wadau wengine kama Boniface Pawasa na wengineo
Mashindano yalishirikisha vyuo vikuu na taasisi za elimu ya juu jijini Dar es salaam, hakika ulikua ubunifu wa hali ya juu sana, nami nina medali ya mshindi wa pili wa fainali ile ya kwanza ya beach soccer
Shaffi huyu huyu amebuni ndondo cup, zamani tulizoea kucheza mitaani lakini haikua na nguvu kubwa kama sasa, tumeona ndondo cup imeweza kuwatoa wachezaji kadhaa na wengine wapo timu ya taifa
Wengi walioko katika shirikisho la soka hawana vision na huu mchezo, tunataka watu ambao watatuvusha kutoka hapa kwenda hatua nyingine nzuri zaidi

Ile sehemu wameunda kikundi chao cha kugombea kiasi kwamba hawataki baadhi ya watu washike zile nyazifa, tunataka maendeleo ya mpira na tutayapata kama tutakua na watu sahihi katika nafasi hizo

Najua kuna wengi wanamchukia huyu jamaa lakini hii haiondoi mazuri yote aliyofanya kwenye michezo hapa nchini,
Kama kweli tunataka kupiga hatua kwenye mchezo huu pendwa basi hatuna budi kuweka watu sahihi katika nafasi sahihi, mtu kama Ali Mayay anafaa sana kuongeza lile shirikisho inasikitisha waliopiga kura hawakuona umuhimu wake,
Simfahamu Shaffi hata kidogo lakini naona ni mtu ambaye ana ubunifu mkubwa kwenye soka, yule ni fursa na hatuna budi kuitumia
Alijaribu kuomba uongozi lakini mizengwe iliyomkuta sidhani kama ana hamu tena ya kujiingiza huko. Waliojificha huko hawataki watu ambao watakuja kuwaharibia mirija yao.
 
kipanta

kipanta

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2014
Messages
342
Points
500
kipanta

kipanta

JF-Expert Member
Joined Sep 2, 2014
342 500
Yule ni simba damu ila anajifichaga
Katika Ubunifu na utekelezaji sina shaka shafii ni mtu sahihi Tatizo lake ni mnazi wa Yanga aliyepitiliza hafichi mapenzi yake jambo ambalo si zuri kwa kiongozi
 
mpimamstaafu

mpimamstaafu

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Messages
2,495
Points
2,000
mpimamstaafu

mpimamstaafu

JF-Expert Member
Joined Jul 18, 2018
2,495 2,000
Nimekaa na kutafakari sana juu la hili jambo, Shaffi Dauda ameweza kufanya vitu vingi Sana kwenye mchezo wa soka hapa nchini,
Nakumbuka mwaka 2014 aliweza kubuni soka la ufukweni wakishirikiana na TFF pamoja wadau wengine kama Boniface Pawasa na wengineo
Mashindano yalishirikisha vyuo vikuu na taasisi za elimu ya juu jijini Dar es salaam, hakika ulikua ubunifu wa hali ya juu sana, nami nina medali ya mshindi wa pili wa fainali ile ya kwanza ya beach soccer
Shaffi huyu huyu amebuni ndondo cup, zamani tulizoea kucheza mitaani lakini haikua na nguvu kubwa kama sasa, tumeona ndondo cup imeweza kuwatoa wachezaji kadhaa na wengine wapo timu ya taifa
Wengi walioko katika shirikisho la soka hawana vision na huu mchezo, tunataka watu ambao watatuvusha kutoka hapa kwenda hatua nyingine nzuri zaidi

Ile sehemu wameunda kikundi chao cha kugombea kiasi kwamba hawataki baadhi ya watu washike zile nyazifa, tunataka maendeleo ya mpira na tutayapata kama tutakua na watu sahihi katika nafasi hizo

Najua kuna wengi wanamchukia huyu jamaa lakini hii haiondoi mazuri yote aliyofanya kwenye michezo hapa nchini,
Kama kweli tunataka kupiga hatua kwenye mchezo huu pendwa basi hatuna budi kuweka watu sahihi katika nafasi sahihi, mtu kama Ali Mayay anafaa sana kuongeza lile shirikisho inasikitisha waliopiga kura hawakuona umuhimu wake,
Simfahamu Shaffi hata kidogo lakini naona ni mtu ambaye ana ubunifu mkubwa kwenye soka, yule ni fursa na hatuna budi kuitumia
Amekuahidi nini? Aliwahi kugombea uongozi TFF lakini alikuwa hana sifa ya uongozi
 
Alvajumaa

Alvajumaa

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2018
Messages
2,257
Points
2,000
Alvajumaa

Alvajumaa

JF-Expert Member
Joined Jul 5, 2018
2,257 2,000
Amekuahidi nini? Aliwahi kugombea uongozi TFF lakini alikuwa hana sifa ya uongozi
Simjui kabisa, namuona tuu katika vyombo vya Habari....
Pia kada yangu ni uhandisi ujenzi ila napenda sana michezo, hivyo uzi si kwamba kanituma hapana bali naona ana juhudi anastahili hiyo nafasi
 
Kazitunayo

Kazitunayo

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2013
Messages
3,434
Points
2,000
Kazitunayo

Kazitunayo

JF-Expert Member
Joined Mar 30, 2013
3,434 2,000
Katika Ubunifu na utekelezaji sina shaka shafii ni mtu sahihi Tatizo lake ni mnazi wa Yanga aliyepitiliza hafichi mapenzi yake jambo ambalo si zuri kwa kiongozi
Uyu ni simba na ni mwanachama pia anaichukia simba coz kuna nafasi alibaniwaga
 
U

Ulimakafu

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2011
Messages
21,531
Points
2,000
U

Ulimakafu

JF-Expert Member
Joined Mar 18, 2011
21,531 2,000
Katika Ubunifu na utekelezaji sina shaka shafii ni mtu sahihi Tatizo lake ni mnazi wa Yanga aliyepitiliza hafichi mapenzi yake jambo ambalo si zuri kwa kiongozi
Mbona nasikia ni mnyama mnyamani?
 
Forum statistics

Threads 1,336,594
Members 512,670
Posts 32,544,694
Top