Mjadala: Nini chanzo na tiba ya tatizo la upele kuota kwenye uume?

da! pole mkuu,ushauri kama huna syphlis second chancre basi nashauri kama onana na docta hasa hawa wa maduka ya dawa binafsi mwambie akuchome hydrocotisone injection 200mg bd ndani ya siku tatu na upake clotrimazole cream uichanganye na whitfield field pamoja ndo upake mara mbili kutwa then utatupa mrejesho.nimeshauri hivyo kuhusu duka la dawa sababu hospital hawakubali uwape ushaur watakuambia usiwafundishe kazi hivyo kwenye duka la dawa wapo wanaojiwa kuinject sindano watakusaidia kwa hilo
Ahsante ndugu yangu nifanye hivyo
 
Pole sana mkuu.

Naunga na Babu sea hii ni Genital herpes ambayo inasababishwa na Herpes Simplex Virus(HSV) na kuenezwa kwa njia ya kujamiana.

Dalili zake ni kuhisi maumivu, kuwashwa, kutokwa na viupele kwenye kengele.

Tafuta dawa inaitwa Acyclovir cream(nimeambatanisha picha), utatumia kwa kupaka kwenye sehemu iliyoathirika mara 3 hadi 5 kwa siku, utumie kwa siku 5.

Usipoona mabadiliko ongeza siku zingine 5 zifike jumla 10.

Siku 10 zikitimia halafu ngoma bado inagoma kutiki, kamuone Daktari.View attachment 2073486View attachment 2073489
Ahsante
 
Kuna wadada wataalamu wa kukariri mashine za watu kama ulishapita nao na wapo humu wanaweza jua wewe ni nani🤣🤣🤣 (jokes tu mkuu)… nenda hospitali mkuu ndio utapata msaada wa haraka
 
Scars nae ana tatizo kama hili ila yeye ni huku pa kunyea, sasa na yeye aweke picha tumshauri.
 
Mimi ni kijana nina umri wa miaka 30, nasumbuliwa na tatizo la kuvimba uume, hali hiyo hutokea.ninapojamiina na mke wangu, tumepima magojwa ya ngono hakuna

U .T .I hakuna, lakini DCT ameshauri kutumia dawa za INFECTION, hata hivyo kuna vipele ambavyo hutokea juu ya kichwa cha uume na utunga kama usaha lakini sio usaha na kuanza kutoa drops kama rangi ya Bia na hayo maji hayana harufu.

Uume unakuwa legelege kama umekufa ganzi (haufanyi kazi ) tumbo lina unguruma na mgongo unauma kiuno kinauma .

NAOMBA USHAULI KWA WATAALAMU WA AFYA.
NIFANYE NINI , AU NIKAPIME KITU GANI , AU NASUMBULIWA NA KITU GANI?

View attachment 2073307
Unaendeleaje!

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Pole sana mkuu.

Naunga na Babu sea hii ni Genital herpes ambayo inasababishwa na Herpes Simplex Virus(HSV) na kuenezwa kwa njia ya kujamiana.

Dalili zake ni kuhisi maumivu, kuwashwa, kutokwa na viupele kwenye kengele.

Tafuta dawa inaitwa Acyclovir cream(nimeambatanisha picha), utatumia kwa kupaka kwenye sehemu iliyoathirika mara 3 hadi 5 kwa siku, utumie kwa siku 5.

Usipoona mabadiliko ongeza siku zingine 5 zifike jumla 10.

Siku 10 zikitimia halafu ngoma bado inagoma kutiki, kamuone Daktari.View attachment 2073486View attachment 2073489
Anamke, na yeye anatumiaje?
 
da! pole mkuu,ushauri kama huna syphlis second chancre basi nashauri kama onana na docta hasa hawa wa maduka ya dawa binafsi mwambie akuchome hydrocotisone injection 200mg bd ndani ya siku tatu na upake clotrimazole cream uichanganye na whitfield field pamoja ndo upake mara mbili kutwa then utatupa mrejesho.nimeshauri hivyo kuhusu duka la dawa sababu hospital hawakubali uwape ushaur watakuambia usiwafundishe kazi hivyo kwenye duka la dawa wapo wanaojiwa kuinject sindano watakusaidia kwa hilo
Mkuu ifike wakati tuache kushauri vitu ambavyo sio field yetu. Kwa ulichoandika hapa nina uhakika 100% hauko kwenye field ya medical.
Clotrimazole and whitefield zote ni antifungal
Hydrocortisone ni antihistamine and anti inflammatory
Ni kwa vipi hizo dawa ziko associated na dalili ya ugonjwa unaonekana kwenye pic hapo.
Please let us respect other's professional tuachane na taarifa za mtaani
This guy need serious treatment sasa wewe unakuja na hadithi za namna hii
Utamchelewesha kupata tiba sahihi
 
New client

PDX Syphilis Tertiary Phase

Ningekupata, hayo matrakoo yangeihadithia dunia jinsi sindano inavyouma

Nenda hospital
 
Mkuu ifike wakati tuache kushauri vitu ambavyo sio field yetu. Kwa ulichoandika hapa nina uhakika 100% hauko kwenye field ya medical.
Clotrimazole and whitefield zote ni antifungal...
ndugu elimu ni pana zaidi unafikiri umeimaliza,matibabu ni mapana zaidi ya hapo ulipoishia jipe muda kapitie other indications of corticosteroids lakini pia effectiveness of some ant fungal zinapokuwa concominant all in all wewe unajita mtaalum wa afya vp kuhusu walio mashauri kuhusu vitunguu swaumu achanganye na malimao je drug interaction yake na ni ipi posbo side ifect ni zp,mwisho napenda umpe accurate cure ya shida ya mleta maada,ndo la maana mengine hayo uliyo nayo jua umakalili tu hujailewa afya.
 
Back
Top Bottom