Mjadala: Nini chanzo na tiba ya tatizo la upele kuota kwenye uume?

Nunua BBE , pakaa kila siku kila baada ya masaa 12 .


Kuondoa muwasho nunua --Cetrizine 10mg utakunywa kila siku kidonge kimoja kimoja kwa siku tano.


Chemsha nguo zote mpaka makava na maforonya ya Godoro.

Usivae nguo bila kunyoosha.

Badili nguo kila baada ya Kupakaa dawa.

OGA, OGA, OGA, OGA, PIGA MAJI KILA SIKU KABLA YA KUPAKAA DAWA.
 
Poleni na mihangaiko ya kutafuta rizki ktk maisha wadau, pia nitoe pongezi kwenu sote kwa kua pamoja katika tiba ushauli na nasaha za afya. Nichukue fursa hii kuomba ushauli au tiba ya upele pembeni mwa shingo ya uume. Vijipele hivi ni vidogo na vyeusi kwambalii haviwashi wala haviumi ni vidogo kabisa.

Naomba ushauli tiba au mwongozo kutoka kwenu wataalamu kwani vipele hivi vimekua karaha pindi napokua faragha kwani round zikiwa nyingi huvimba kidogo then hutoa kwambali sana majimaji then after 1/2 day hukauka kabisaa na kua normal.

Nilimuona mtaalamu wa afya huku bushi niliko akanishauli nitumie dawa za fangasi lakn hazijanisaidia pili nilijalibu mbadala kwa kupaka kitunguu swaumu lkn bado haviniishi. Nimedumu navyo almost 6-8 months sasa.

IMG_2456.jpg

IMG_2457.jpg
 
Poleni na mihangaiko ya kutafuta rizki ktk maisha wadau, pia nitoe pongezi kwenu sote kwa kua pamoja katika tiba ushauli na nasaha za afya. Nichukue fursa hii kuomba ushauli au tiba ya upele pembeni mwa shingo ya uume. Vijipele hivi ni vidogo na vyeusi kwambalii haviwashi wala haviumi ni vidogo kabisa. Naomba ushauli tiba au mwongozo kutoka kwenu wataalamu kwani vipele hivi vimekua karaha pindi napokua faragha kwani round zikiwa nyingi huvimba kidogo then hutoa kwambali sana majimaji then after 1/2 day hukauka kabisaa na kua normal. Nilimuona mtaalamu wa afya huku bushi niliko akanishauli nitumie dawa za fangasi lakn hazijanisaidia pili nilijalibu mbadala kwa kupaka kitunguu swaumu lkn bado haviniishi. Nimedumu navyo almost 6-8 months sasa. View attachment 1873263
View attachment 1873265
Huwezi kupaka vitungu saumu ukapona huo ni ugonjwa wa zinaa wa kuambukizwa kwanza nenda Hospitali umuone Daktari wa ngozi kisha ukapime na kutumia dawa hujapona nitafute mimi kwa wakati wako nipate kukutibia upate kupona maradhi yako.
 
Huwezi kupaka vitungu saumu ukapona huo ni ugonjwa wa zinaa wa kuambukizwa kwanza nenda Hospitali umuone Daktari wa ngozi kisha ukapime na kutumia dawa hujapona nitafute mimi kwa wakati wako nipate kukutibia upate kupona maradhi yako.

Ahsante sana kwa ushauli.
 
Kama ulipita njia fulani ukiwa peku, nakushauri katafte dawa maarufu sana kwa jina la Azuma. Utakuja nishukuru baada ga siku nne.
 
Back
Top Bottom