Mjadala: Nini chanzo na tiba ya tatizo la upele kuota kwenye uume?

Guys naomba niseme kitu mtu asinifate inbox kuhusu Majina ya dawa.

Nlishatoa mrejesho hapa kuwa nilipona kabisa na nkasema mimi sio daktari au mtu niliebobea kwenye Madawa.

Tatizo nlilolipata nlijifunza kutafuta tiba hospital mbali mbali so unakuta mtu anapata tatizo ata kama sio kama langu anataka nimpe majina ya dawa pasipo kwenda kwa daktari unaweza ukawa na dalili sawa na nlichowai kukipata ila kikawa ni kitu tofauti.
 
Mimi ni kijana nina umri wa miaka 30, nasumbuliwa na tatizo la kuvimba uume, hali hiyo hutokea.ninapojamiina na mke wangu, tumepima magojwa ya ngono hakuna

U .T .I hakuna, lakini DCT ameshauri kutumia dawa za INFECTION, hata hivyo kuna vipele ambavyo hutokea juu ya kichwa cha uume na utunga kama usaha lakini sio usaha na kuanza kutoa drops kama rangi ya Bia na hayo maji hayana harufu.

Uume unakuwa legelege kama umekufa ganzi (haufanyi kazi ) tumbo lina unguruma na mgongo unauma kiuno kinauma .

NAOMBA USHAULI KWA WATAALAMU WA AFYA.
NIFANYE NINI , AU NIKAPIME KITU GANI , AU NASUMBULIWA NA KITU GANI?

IMG_20220108_084953_558.jpg
 
Pole sana hilo tatizo linaitwa genital herps lina sababishwa na kukutana kingono bila kondom au kushika majimaji ya mtu mwenye tatizo kama hilo kwa kukushauri nenda kwa madaktari wangozi watakusaidia ila nitatizo ambalo unaweza kuambukiza watu wengine kupitia njia nilizo zitaja hivyo epuka ila kwa sasa tafuta tube moja inaitwa aciclovir cream.
 
paka mafuta ya Nazi pia yanasaidia,mi nilikuwa na muwasho kwenye mapumbu,yalikuwa mekunduu,nimepaka mafuta ya nazi kila nilipotoka kuoga,yamesaidia aisee, kunywa na antibiotics pia
 
paka mafuta ya Nazi pia yanasaidia,mi nilikuwa na muwasho kwenye mapumbu,yalikuwa mekunduu,nimepaka mafuta ya nazi kila nilipotoka kuoga,yamesaidia aisee, kunywa na antibiotics pia
Mkuu, wewe hauna picha hata moja kwani..
 
Back
Top Bottom