Mjadala; Ni yupi anaestahili mazishi yake kugharamiwa na serikali kati ya kiongozi na mwananchi maskini?

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
11,279
21,396
Nauweka mjadala huru kwenu!

Mazishi mengi ya viongozi kuanzia matibabu hadi mazishi hugharamiwa na serikali, lakini Msiba wa mwananchi maskini hupitia misukosuko kuanzia upatikanaji wa mwili hospitali hata namna ya kuusafilisha!

Je; Ni yupi anaestahili kujigharamia mazishi kati ya kiongozi wa umma au mwananchi wa kawaida ambaye hana ajira wala bima?

KARIBUNI
 
Mbona serekali inazika watu wa chini....
 
Unataka ufe lini manispaa ikuzike.

Mtumishi wa serikali unataka azikwe na wajumbe wa kijiji?
Elewa mjadala; tatizo siyo watu, hapa tunazungumzia gharama nani anastahili kulipiwa na serikali!
 
Hebu nipe mfano mwananchi kafaje (mazingira gani)
Nikupe mfano gani! Hivi unaelewa mazishi ya kiongozi mmoja hugharamiwa na serikali kutoka mfuko gan wa Pesa? Unafaham shida ya mwananchi maskini mwili wake unaposhikiliwa hospital Kwa madeni? Na ndugu wasiweze hata kusafilisha?
 
Huna akili.

Una hoja za kipumbavu sana. Mtumishi wa serikali ulitaka azikwe na wazee wa kimira.
 
Uelewa wako ni mdogo sana! Hujui kutofautisha gharama na watu? Hao wazee wa kimila wanakujaje kwenye gharama!. Unafahamu gharama za msiba zilivyo? Mjinga kabisa wewe!
 
Pole sana kuwa miongoni mwa kijana mwenye uelewa mdogo duniani na katika familia yako.

Hivi hujui sifa za mtumishi wa serikali au wehu tu unakusumbua.
 
Ukiona kimtu kinajiita sijui fulani mkali ujue ni uharo upo kichwani.

Nimekuuliza huyo mwananchi aliyekufa amekufa kwenye mazingira gani husemi. Hao wanaokufa na Corona wanazikwa na familia yako au serikali? Au unataka serikali ikizika ikupe pilau ujue kuwa imezika.
 
Hizo sifa ni msaafu au ni bibilia kwamba haziwezi kubadilishwa? Kinachokusumbua wewe ni ulimbukeni na ubinafsi pimbi mkubwa!
 
Hasira zako za kukosa ubwabwa kwenye misiba ya corona usiniletee hapa. Yaani ili ujue serikali imezika unatakiwa ufanyiwe nini.
 
Ukiona kimtu kinajiita sijui fulani mkali ujue ni uharo upo kichwani.

Nimekuuliza huyo mwananchi aliyekufa amekufa kwenye mazingira gani husemi. Hao wanaokufa na Corona wanazikwa na familia yako au serikali? Au unataka serikali ikizika ikupe pilau ujue kuwa imezika.
Acha ujinga! Mjadala uko open! Kuhusu mwananchi masikini kustahili msahama wa selikali uwe rasm...wewe unaleta mihemko ya kijinga hapa! Hujui hata hapo unaweza system ikakutema ukarudi kundi la masikini mbuzi wewe
 
Sikuona hii comment ila kama hataelewa na hii atakuwa na matatizo ya kufikiri.
Wewe ni kama nyani tu! Haoni utupu wake! Ungekuwa na akili timamu ungewaza! Tofautisha mazishi ya wananchi wanaozikwa na serikali kutokana na majanga kama corona!
Ni ninazungumzia utaratibu wa kawaida, iweje mwananchi masikini adaiwe gharama za tiba na kulipia maiti kuitoa mochwari?
 
Back
Top Bottom