MJADALA NA Mwigulu Nchemba Pamoja Na Kingwangala

Status
Not open for further replies.
arifu ukitaka ubebwe uonekane msomi wwe longa kizungu aisee....si umeona jamaa kaanza na kizungu mpaka Mike katoka alipokuwa kaja mbio mbio si anajua wasomi hawa aisee.....unafikiri ingekuwa kwa kiswahili ungemuona? waiti lile jidada Ashadii lasubiri liwe moderator wa mdahalo....

arifu bongo ndio maana wapo kama walivyo kudadadadeki.......kwani arifu hujajua kinatafutwa nini kwenye debate mlengo huu?? hujajua tu????

ndio maana na mie nikapiga kizungu.....na nimeshaanza kupata hata PM na mie aisee.....kama ri kiranga mashori angekuwa bongo angewala kweli kweli aisee.....si unaona hata hapa anayoshobokewa hata na wanaume na kingereza chake cha urban dictionary

Hahaha,

Cha Queensbridge Projects, complete with double negatives.

Pamoja.

What do they say? "Don't hate the player, hate the game?"

Well I'm not even the player no more. I bought a team and do some coaching.

These cats can't be serious, they flow so delirious...
 
Hahahahahahahaha
naona waweke tambo pembeni maana tumeshajua kizungu wana kifahamu na mdaharo ufanyike kwa kiswahili!

Nimependa huu ujumbe wako:

'Miafrika Ndivyo Tulivyo'

Jamaa amekaa Marekani miaka minne kurudi anajifanya amesahau hata kuita mama! Loh!
 
Nimelisema hili kitambo hapa.

Watu washafanya vikao mpaka Ngurdoto.

Hamna lolote lililobadilika.

Plutarchian pageantry!

Mkuu nisamehe kwa yote, pengine nisingebishana na wewe nisingeelewa......kabla sija-sign out nimegundua kuwa HII NI DEBATE UJIKO.....yaani ya ''KUTONGOZEA MASHABIKI''........
 
Lets give them chance to decide the languange of debate, although i prefer swahili language! I don think they want to show us how they master english language!

Hahaha,

Cha Queensbridge Projects, complete with double negatives.

Pamoja.

What do they say? "Don't hate the player, hate the game?"

Well I'm not even the player no more. I bought a team and do some coaching.

These cats can't be serious, they flow so delirious...
 
Hili ndilo Tatizo la wasomi wetu.............. Huku ni kujikweza tu................Mbona Mjapani au Mchina huwezi kumsikia anauliza vitu kama hivyo.................Au anataka kufanya mdahalo wa kiingereza huku walengwa ni wajapani au wachina wa mashambani.................ndiyo maana hata hii midahalo, makongamano na mikutano wala haileti manufaa yoyote mchini.

Tuwape ujumbe mmoja ti hawa waheshimiwa; John Mashaka na HKigwangalla chagueni kijiji kimoja kati ya vijiji vilivyoko Tanzania ambacho nyie wote hamna maslahi ya kisiasa. Fungeni safari mpaka huko mkajifunze shida za watanzania kwa siku tatu. Mkirudi mje mtusimulie mliyoyakuta halafu muoanishe na theory zenu za kiuchumi.
 
Me naona tusiwavunje moyo, ila tuwaache wafanye debate tena kama ikiwezekana kwa kiswahili tena kwa faida ya wengi najua tunaweza kujua na kujifunza mengi kupitia kwao si mpaka tukutane nao physically hata tukisoma wanavyo andika na kushauri!

Tuwaache wafanye debate tena kupitia jf bila shaka tutajua mengi kupitia mawazo yao na mipango yao!

Nia ya mdahalo wao sio nzuri kwa sababu ya tambo ambazo walishaziweka tangu mwanzo. Huo muda wanaweza kushirikiana kuuwekeza kuzungumza na vijana wasio kuwa na ajira na kuangalia namna ya kuwasaidia.
 
hivi kigwangala watu wako wa nzega wnakuelewa kweli kwa lugha hii??

ukifikiria kidogo nje ya boksi utagundua kuwa uamuzi wa kutumia 'kidhungu' umetoka kwa 'wataalamu' ambao wana goal wanataka kuachivu na HK kaamua kuwakubalia ili kupambana nao huko huko walipo.let them be.....
 
Watanzania, kwa nini tunakatishana tamaa hivi? Kwanini tusiwaache hawa wanaotaka kufanya debate wakaifanya halafu tuone hakuna lolote la maana tutakalo pata toka kwenye hiyo debate? Na nani anaweza kusema categorically, kuwa hakuna la maana litakalopatikana kwenye hiyo debate?

Hapa JF watu wanalumbana sana, lakini pia kuna ideas nyingi zinachukuliwa na watu walio kwenye ngazi za maamuzi au hata kutolea ufafanuzi. Tuacheni kila mtu ajifanasi kwenye himaya yake!
 
Mtasababisha Waheshimiwa kuingia mitini!!!! Kama Nchemba atachangia hii thread basi nitajipiga ban la week hoja!!!!
 
Hahahahahahahaha
hamna SHEMEJI me ninachotaka ni wana mdaharo wawe free kwani wanajua umuhimu wa kiswahili lakini wameamua kuchagua kingereza tuwaache wawe huru japo wanaweza kushauriwa kutumia lugha ya kiwahili!

Haaaah, haaaa Ruttashobolwa, naona hutaki kabisa kurudi nyuma, hasa ukizingatia we ni Nsomile
 
Last edited by a moderator:
arifu ukitaka ubebwe uonekane msomi wwe longa kizungu aisee....si umeona jamaa kaanza na kizungu mpaka Mike katoka alipokuwa kaja mbio mbio si anajua wasomi hawa aisee.....unafikiri ingekuwa kwa kiswahili ungemuona? waiti lile jidada Ashadii lasubiri liwe moderator wa mdahalo....

arifu bongo ndio maana wapo kama walivyo kudadadadeki.......kwani arifu hujajua kinatafutwa nini kwenye debate mlengo huu?? hujajua tu????

ndio maana na mie nikapiga kizungu.....na nimeshaanza kupata hata PM na mie aisee.....kama ri kiranga mashori angekuwa bongo angewala kweli kweli aisee.....si unaona hata hapa anayoshobokewa hata na wanaume na kingereza chake cha urban dictionary

Kaka, kama Debate ikifanyika inamaana kutahitajika msaada kutoka kwetu.
 
Mbunge wangu Mh. Kingwangala sijui unataka midahalo mingapi na kwa manufaa gani huku ukitumia lugha ya waingereza. Maliza kwanza hiyo ya bungeni halafu nenda jimboni kuwapasha wananchi wako yaliyojiri bungeni, na siyo kubakia Dar es salaam kusubiri mdahalo na John Mashaka. Tunakuhitaji kwenye huduma za kijamii jimboni.
 
Do you think English has any 'meaning' for me...or to any other nationalist? To people like us it is nothing but just another language imposed by the imperialists to further their legacy in Africa...and is a bad sign of the presence of rotten smelly sleep-overs of colonialism...

andika kiswahili .... unajidhalilisha?
 
Mtasababisha Waheshimiwa kuingia mitini!!!! Kama Nchemba atachangia hii thread basi nitajipiga ban la week hoja!!!!

Mida ya saa 10 jioni alikuwa humu akijibu shutuma za kula hela za CDCF....nikamuita aje ktk huu uzi aseme chochote, thubutuuuuu mpaka mda huu
 
Mkuu SHEMEJI naomba tuwape uhuru wa kuchagua lugha gani ya kutumia japo mi ninge washauri watumie kiswahili!

Me nafikiri mh HKigwangalla yeye ana msikiliza John Mashaka! Me nafikiri watasikiliza ushauri wa audience!

Nachokiona hapa wanataka heshima mbili kwa mpigo, 1. Lugha 2. Awareness yao juu ya changamoto za Tz.......umeshauri vyema ukimaanisha, heshima ya 2 ndo mpango mzima kwa audience
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom