MJADALA NA Mwigulu Nchemba Pamoja Na Kingwangala

Status
Not open for further replies.
UDSM itakuwa ni sehemu nzuri ya huu mdahalo
I would love it if the debate would be staged in the Nkrumah Hall at the Hills, as there we would get reputable moderators and serious discussants and audience...let us do it there then! Mr. John Mashaka, are you there? [I suggest you coordinate this with UDASA or with DARUSO]
 
Debate UDSM, lugha ya Oxford.

Watu weeeee.

Mkimaliza Watanzania lazima waombe tafsiri kama Wajapani walivyoomba tafsiri ya hotuba ya surrender ya Hirohito!
 
Naomba niwe muwakilishi wa tusiojua English, kukuomba upunguze swaga, ni vyema tukaelewa mchango wa kila mmoja wetu humu

Tatizo sio English, labda swaga period. Kuna mahali niliandika Kiswahili nikaambiwa hivyo hivyo.

Na kwa nini nisitumie Kiswahili cha kishairi kama my "creative juices" lean that way?

For that matter, as long as sijifaragui kwamba nawakilisha wananchi au nataka kuwakilisha wananchi, au nataka kusikilizwa na kila mtu, kwa nini nisiweze kuandika Kiingereza cha Churchillian slant yenye Victorian Dickensian diction?

Au Kisukuma for that matter?

Kwa nini unafikiri nataka kila mtu anielewe?

What's wrong with trading inside jokes that only Tambazans could relate to?
 
Kuna "Oracle of Delphi" moja limesema lishaangalia mbele huko hakuna debate yoyote itakayofanyika.

Ni Gladiator complex ya kuburudisha baraza tu.

Tusubiri tuone kama Oracle limepatia au vipi.
 
Mimi nilianza kukutetea Mbunge wangu nikifikiri utatumia lugha yetu ya taifa, naona unaingia nawe kwenye hizi swaga za waingereza.

Mbunge wangu, najisikia unanisaliti kwa hili. Tafadhari, SIMAMA KWA LUGHA YETU YA TAIFA. Hili siyo jukwaa la watu wa swaga za waingereza peke yao. Umoja wetu kitaifa pia unajengeka katika misingi ya lugha ya taifa.
 
Lets wait for John Mashaka reply, and this is for national benefit especial youthh!

I would love it if the debate would be staged in the Nkrumah Hall at the Hills, as there we would get reputable moderators and serious discussants and audience...let us do it there then! Mr. John Mashaka, are you there? [I suggest you coordinate this with UDASA or with DARUSO]
 
Last edited by a moderator:
Mi nafikiri kwa swala la mdharo wanaweza kuchagua lugha ya kutumia hata kama ni kingereza si mbaya!

Mimi nilianza kukutetea Mbunge wangu nikifikiri utatumia lugha yetu ya taifa, naona unaingia nawe kwenye hizi swaga za waingereza.

Mbunge wangu, najisikia unanisaliti kwa hili. Tafadhari, SIMAMA KWA LUGHA YETU YA TAIFA. Hili siyo jukwaa la watu wa swaga za waingereza peke yao. Umoja wetu kitaifa pia unajengeka katika misingi ya lugha ya taifa.
 
hivi kigwangala watu wako wa nzega wnakuelewa kweli kwa lugha hii??

Kwani debate hii ni ya watu wa Nzega jamani?

Mbona tunataka kudanganyana hapa.

Waseme tu wanataka kujipaisha.

Ingekuwa ya watu wa Nzega na wengine kama wao kuanzia John Mashaka mpaka Kigwa wote wangeandika Kiswahili.

Hapa kuna pageant la kutafuta "Prima Ballerina" anayejua kujishaua kwa Kiingereza vizuri zaidi.

Kuna "Gladiator Complex" ambayo inajali attention na glory zaidi ya kutatua matatizo ya wananchi.

Kama wangetaka kutatua matatizo ya wananchi tungekuja kusikia baada ya mwezi kwamba walikuwa vijijini huko wanasikiliza kero za wananchi.

Unataka kutatua matatizo ya Wananchi kwa debate za Kiingereza Nkrumah Hall?
 
Mi nafikiri kwa swala la mdharo wanaweza kuchagua lugha ya kutumia hata kama ni kingereza si mbaya!

Sikatai ushauri wake, Hebu tujaribu kuangalia picha kwa upana ili kujenga hoja mbadala ya lugha ipi itumike.

Nani walengwa wa huo mdahalo?. Je, hao walengwa, wengi wao wanamudu hiyo lugha?
 
It means nothing to me what you are trying to do...to my surprise you have ended up exposing your own illiteracy in the English language. I repeat, that I could never claim I am the best English speaker because, one, it is my third language falling way behind Kimbu and Swahili, and two, I feel low that we are even discussing petty issues of 'English language' in this highly acclaimed and noble forum
aisee nakushauri longa kiswazi tu arifu......hawa majamaa yanakaa marekani decade sasa yatakuchallenji.....alafu nakushauri acha ujinga ukiwa bungeni.....mama yenu wa senkyu vere mache hayumo humu hutalia wee hakuna wa kukutetea.....
 
Sikatai ushauri wake, Hebu tujaribu kuangalia picha kwa upana ili kujenga hoja mbadala ya lugha ipi itumike.

Nani walengwa wa huo mdahalo?. Je, hao walengwa, wengi wao wanamudu hiyo lugha?

Ndiyo maana watu wanawatilia shaka. Wafanye mdahalo kwa lugha ya Kiingereza ili iweje?

Watu wanataka matendo yenye kuzaa matunda na si maneno ya Kiingereza ambayo hayana tija.

Mdahalo wa Kiingereza utaondoaje mavumbi na matope? Mdahalo wa Kiingereza utahakikishaje huduma za maji na umeme zinakuwa ni za kuaminika?

Upuuzi mtupu. Kwa maendeleo tuliyonayo sisi kama Watanzania hatuhitaji maneno. Tunahitaji matendo.
 
Tunataka uwe wa kiingereza ,alafu tutaweka tafsiri kwenye screen kwa watanzania wasiojua kiingereza.Kwani tunataka Dunia ijue kuwa ccm ni uozo unaotisha sasa hivi.
 
Watanzania bana,

Tunapoachia vitu kama hivi na kuviona havina kasoro, tunajenga tabia mbaya katika jamii.

Lugha ya taifa ni muhimu sana kwa wanasiasa kuitumia wanapowasiliana na wapiga kura wao, nje ya hapo ni kutaka kujikwaza tu.
 
Halafu hapo hapo anakwambia kwake lugha ya Kiingereza haina maana, huku anatumia lugha hiyo hiyo kusema kwamba haina maana.

Hiyo hiyo lugha ambayo kwake haina maana, anaiita ni lugha ya mabeberu na anasema ni ishara mbaya ya masalia ya ukoloni, na anasema hivyo kwa kutumia lugha hiyo hiyo anayoisema hivyo.
English is for colinialist and its is not recomended for senior govnt official to address problems using it...i hate seeing you guys writing english too much for local dwellers....
 
English is for colinialist and its is not recomended for senior govnt official to address problems using it...i hate seeing you guys writing english too much for local dwellers....

And you say all this in.... English!
 
Me naona kwa manufaa ya wana nchi waote tuwaombe John Mashaka, HKigwangalla na Mwigulu Nchemba mdharo uwe kwa lugha ya kiswahili kwa manufaa ya wengi me naona kwa hili ni mtetee HKigwangalla ajachagua kuwa mdaharo uwe kwa kingereza nadhani alijibu kutokana na mwanzisha mada John Mashaka!

Back
Top Bottom