game over
JF-Expert Member
- Jan 1, 2016
- 10,387
- 23,297
Mwalimu bado yupo boss, kupitia chama chake cha mafisi na washirikina ambacho kimewakaba kwenye m@p#mb# kwa miaka zaidi ya hamsini! Ndio maana pale kwenye ikulu yenu mmefuga mshamba, mzee 'semi-illiterate'. Shauri yenu jombaa, mtakimbiza mwenge kama vichaa hadi siku ya kiama.
Sawa, Kama ilivyo kenya na Jubilee, chama kipya wanachama walewale wa Kanu,
Yaani Msitu mpya nyani Walewale. Tofauti ni Kuwa hata mimi leo nikitaka nachukua kadi ya ccm naingia kwenye siasa ninaweza kuwa yeyote na hakuna mtu atanitenga kwa kabila langu,
Tofauti na hapo kama sio mkikuyu au mkalenjini Wewe ni Kapuku na huna haki ya kuongoza Kenya,
Hapo mmetawaliwa na Familia ya Mkora tangu uhuru.