Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 80,836
- 93,615
Kinacholeta shida wanasema wale siyo watumishi wa umma, lakini mbona wanatumia magari ya umma?
Aliyezoea vya kunyonga vyakuchinja hawaviwezi, hawa ndugu zetu wengi wao ni wafanya biashara, kwa hiyo hawakwenda pale kutetea masilahi ya wananchi walienda mjengoni ili kufanikisha mipango yao ya biashara haramu, mfano hivi mbunge wa morogoro mjini alifuata nini bungeni, mchungaji lwakatale anatafuta nini bungeni kama tu muumini maskini ambaye hajui atakula nini kesho aliyetoka mbagara charambe au bunju analazimishwa kutoa kiwango cha chini elfu kumi ili aombewe aende mbinguni huku mama wa watu anamiliki mashule tanzania nzima, ana mahekalu mbezi beach na vingine.Hizi Mkuu zinaweza kukatwa kinyemela kisha Wabunge wa MACCM kupenyezewa pembeni ili waendelee kulifanya Bunge kama kitengo cha MACCM. Kumbuka rushwa ya milioni 10 kwa kila mbunge wa MACCM mwezi October 2016.
Unasema Waziri/mbunge/kiongozi atumie gari lake kufanya kazi za umma? Toka lini au nchi gani viongozi wanatumia pesa zao kufanya kazi za umma. Kumpa mtu dhamana ya uongozi ni pamoja na kumpa vitendea kazi katika kufanikisha kazi zake ikiwa ni pamoja na gari, mwisho utasema na rais atumie gari lake kufanya kazi zake za kiraisi.
Kuna kitu unachanganya naona; kwa sasa kuna ulazima wakutumia magari kama lc200 sababu ya miundombinu ila hiyo haimaanishi miundombinu haiboreshwi. Barabara bado zinajengwa hasa highways ila wilayani na vijijini ndani bado barabara ni mbaya. Hata wakiacha kutumia hayo magari ili kukazia barabara zijengwa hazitajengwa ndani ya mwaka mmoja au miwili nchi nzima, na pesa za magari zenyewe ni peanuts kwa pesa zinazohitajika kujenga miundombinu. Nevertheless, reli(STG), barabara na infrastructure zingine bado zina boreshwa, until then haya magari yataendelea kutumika.
Kujiweka kimasikini sio kipimo cha uongozi bora.
Unakumbuka kuna waziri alikataa kusafiri kwa ndege economy class akidai haina hadhi yake katika awamu ya nne na huyohuyo alisikika akisafiri kwa daraja hilohilo katika awamu ya tano
Anyway, shida iliyopo ni ubinafsi, mengi ya magari uliyosema yanatumika jijini ambako hata hizo VW zinapita bila shida
Mkuu Umesahau na MAGOROFA aka MABUGANDOHawezi.
Watu wa kijijini wasukuma huita mashkolo mageni.
Ushamba wa hawa watu ni magari na ndege
Bado huzingatii Hali ya miundombinu ya TZ iliyopo. Wote tunatamani ingekua hivyo ila uhalisia unakataa. Nje wanatumia baiskeli kwenda kazini kama PM wa Netherlands sababu miundombinu inaruhusu wakati TZ bado. Matumizi ya haya magari haimaanishi jitihada za kuboresha miundombinu zimesimama, until then haya magari yataendelea kutumika.Haujaambiwa atumie pesa yake. ila asifuje pesa zisizo zake.
Upuuzi ni kutumia mali za umma kama hakuna kesho. wakati unaowatawala ni maskini wa kutupwa.
Mifano mliyopewa ya viongozi wanaotumia magari ya gharama nafuu relative to uchumi wao iwe chachu ya nyie kujitazama mlipo. sio mnataka kutimiza ndoto zenu za utotoni wakati mko vijijini kwa kutumia fedha za umma.
Kuhusu kutokutumia magari kwenda ofisini hilo sio tatizo, zipo nchi viongozi wanatumia baiskeli kwenda makazini, na uchumi wao uko juu kuliko wa kwetu.
Narudia tena, ni USHAMBA tu ndio unawageuza viongozi kuwa Pimps in the middle of poverty.
Kinachomshinda waziri kutoka masaki hadi posta kwa baiskeli ni kitu gani? acha kuandika pumba.Bado huzingatii Hali ya miundombinu ya TZ iliyopo. Wote tunatamani ingekua hivyo ila uhalisia unakataa. Nje wanatumia baiskeli kwenda kazini kama PM wa Netherlands sababu miundombinu inaruhusu wakati TZ bado. Matumizi ya haya magari haimaanishi jitihada za kuboresha miundombinu zimesimama, until then haya magari yataendelea kutumika.
Mkuu Umesahau na MAGOROFA aka MABUGANDO
Bado huzingatii Hali ya miundombinu ya TZ iliyopo. Wote tunatamani ingekua hivyo ila uhalisia unakataa. Nje wanatumia baiskeli kwenda kazini kama PM wa Netherlands sababu miundombinu inaruhusu wakati TZ bado. Matumizi ya haya magari haimaanishi jitihada za kuboresha miundombinu zimesimama, until then haya magari yataendelea kutumika.
Umeshawahi kutafakari,ukiwa na Suzuki grande au hiyo RAV 4 unayoizungumzia,unaweza kwenda vijiji vingapi ambavyo barabara zake asilimia 80 ni rough roads,na mara ngapi ili hiyo gari angalau iweze kuishi miaka 5?Hizo gari kama Landcruiser V8 kiuhalisia ni gari ngumu sana,kwa hali ya barabara za vijijini ukipeleka gari kama Rav4,Suzuki,Xtrail,Klugger na gari za mtindo huo maisha yake yatakuwa mafupi sana.Salaam,
Kama kichwa kinavyojieleza. Kumekuwa na mjadala wa miaka mingi juu ya aina ya magari ambayo viongozi wetu wa kiserikali wanayatumia kwa shughuli zao za kila siku.
Binafsi, nimekuwa nikisema mara kwa mara kwamba viongozi wetu wanaishi kama mastaa wa Hollywood kupitia migongo yetu walipa kodi.
Sasa baada ya kuona namna Rais mpya wa Ufaransa alivyo walk the talk, nikaona ni vyema tuendeleze huu mjadala. Angalia picha nilizoambatanisha hapa. Na pengine tuzidi kuishauri serikali ya Magufuli, ambayo inasisitiza katika dhana ya kubana matumizi.
View attachment 512594
Sina takwimu halisi ya namna gani magari ya viongozi yanaligharimu taifa, ila kwa kutumia uzoefu na common sense, ni rahisi kusema magari hayo yanaligharimu taifa pesa nyingi bila sababu za msingi.
Kuna ulazima gani wa Rais kutumia magari ya kifahari ya aina ya BMW? Katika msafara wake kuna BMW 7 series na BMW X5.
Kuna ulazima gani kwa VP kutumia Mercedes Benz GL Class? Kuna ulazima gani kwa PM na Spika kutumia Mercedes Benz S Class? Kuna ulazima gani kwa mawaziri, manaibu waziri, wakurugenzi, wakuu wa vyuo vya umma, wakuu wa polisi wa wilaya na mikoa, RCs, DC n.k. kutumia Land Cruisers 200 aidha VX au GX?
Hizi gari pamoja na bei ya kununua kuwa aghali, vilevile matunzo yake na utumiaji wa mafuta unaligharimu taifa fedha nyingi.
Kuna kipindi PM Pinda alitoa mwongozo juu ya aina ya magari kwa viongozi. Nakumbuka hadi Waziri Lukuvi akasema viongozi wataanza kutumia Suzuki Grand Vitara ama Toyota Rav4. Vilevile huyu bwana mkubwa wa sasa kwenye kampeni aliongelea juu ya haya magari ya viongozi. Ila bado mambo ni yale yale.
Kwanini inawawia vigumu kwa hawa viongozi kuamua kufanya angalau kama walivyojaribu Kenya kwa mawaziri kuanza kutumia VW Passat? Ingawa sijui kama utaratibu huo bado upo sasa. Hivi Rais akiendeshwa kwenye VW Passat kuna shida gani? Licha ya kujisifu kwamba serikali ya CCM imejenga mabarabara kila kona ya nchi, kwanini bado Land Cruisers zinatumika?
View attachment 512595
Kwa upana zaidi: hivi kuna ulazima wa viongozi wa serikali (pengine ukitoa wakuu wa mihimili ya dola) kupewa magari ya kutumia 24/7?
Ni hayo tu.
Hap mkuu sio suala la kununua tu. Ukichukulia mfano ufaransa kila Rais ambaye amekuwepo amekuwa na choice ya gari gani (BRAND)atatumia kulinga na upenzi au ushabiki wakehapo ghalama haihusiki. KWa Rais lazima atumie gari secured mkuu bila kujali Ghalama. Maisha yake yanathamani kuliko Chombo anachotembelea kwa sababu anawakilisha watu zaidi ya mi 50.
Pia. Wapinzani ambao ndio Kipaumbele chao wangekuwa wa kwanza Kuweka pembeni maVX ili kuonyesha wanamaanisha wanachokisema. Mtu anamiliki HAMMER, au Mtu anasema akiingia madarakani atauza Mashangingi wakati hata tunavyoongea nyumbani kwake amepaki hayo hayo mashangingi mtu huyo inatia shaka kumwamini.
Ni kweli Hao wabunge na watumishi wengi wa serikali wanatumia magari ya anasa saana. Kabla ya kukimbilia kuayauza waangalie ni mbadala gani ambao ni cost effective bila kucompromise Usalama in case kuna ajali, Ubora,Uwezo wake kwenye barabara zisizorafiki etc. Unakumbuka CASE ya NAPE NAUYE Kama ingekuwa ni NADIA au NOAH asingetoka mule.
Na mbaya zaidi wanatumia hayohayo magari yakuwabebea wakurugenzi au maafisa utumishi kuchukulia wake za watu au mademu za watu,inauma.Mkuu hicho kichwa cha habari kimenikumbusha dereva wa mkurugenzi anayelala na gari la serikali tabata aamke nalo asubuhi kumchukua boss bunju ili ampeleke kazini posta.
Kwetu kuna mambo huwa sijui kwanini hayaingizwi kwenye vitabu vya Guiness.
Wapinzani wanajukumu la kuonyesha vile watakavyoishi ikitokea wametawala leo.Kwahiyo hili suala linatakiwa kijadiliwa na upinzani?