MJADALA: Kwanini Wanawake wanaongoza kuwa na majini/mapepo kwa kasi kuliko Wanaume?

Naweza amini hili
Huwa zile ni kick za wahubiri wanakuwa wamewapanga baadhi na wengine huingia kwenye mkumbo. wanaoingiwa mapepo ni wale wasio na kipato, waliopigika kisawasawa, hata hawana jinsi ya kufanya ili wamwogezee kick mhubiri ambaye mwisho wa siku anafaidi sadaka
 
Wee umejuaje yeye ni muhuni
Mimi mwenyewe ni mhuni, tena zaidi yako.
Najua vitu na mambo mengi sana zaidi yako,
mfano, jinsi ya kumfikisha shoga kileleni, unyonyaji safi kabisa wa matundu yote na mengine mengi,
Sasa unapokuja hapa na kuanza kuniambia mara ooh kalikwenda kakarudi, nakuchora tu kijana.
 
Astakafurulah
dah kwaiyo mzee we hauoni noma kupumulia mwanaume mwenzio kisogoni, unakuta msela ana uchebe kabisa kidevuni, na kengele zake mbili, ebu acha kuzingua mkuu mademu wapo kibao ukitaka nenda afrikasana pale ni ww na teni lako tu mkomoane ila sio msela, ukifanyia ivo mtoto wa mtu basi jua na wewe wako kitamkuta kitu kama hiko hiko tu, af pia "uf.r.ji " inaleta mikosi mzee kitu kishakatazwa hadi na Mungu, samtym utaona mambo yako ayaendi ila ni kwajili ya ishu kama izo, ila sio late sana mzee acha tu na umrudie mwenyezi kwani ni Mungu mwenye huruma
 
Sasa yeye anafanya biashara mi nilidhani hicho kitabu ni bure
nashauri tafuta andiko moja la Padri titus Amigu, alikuwa pale seminari kuu Peramiho, now yuko pale SAUT Mtwara,

Amewahi kuandika hiyo juu ya mapepo na wanawake, yuko vizuri sana. Anaichambua bibilia kama kijitaku cha kurasa 10
 
Kama ilivyo kwa mwanaume kuwa na ujasiri kumfata mwanamke na mapepo ndio hivyohivyo, yale ya kike yana aibu Sana yanaogopa kwenda kwa wanaume lkn yakiume majasiri
 
Ile ya shule kama bording inasemekana kama wanafunzi wameshavunja unvo huo ni genye eti hata mimi nakumbuka kipindi nasoma walikuwa wanaamshaga mapepo hivyo basi mkuu wa shule anatoa likizo fupi ya ya wiki akienda kwao akirudi fresh katulia
Hata mashuleni, wahanga ni wasichana
 
Yaani hata huko kwenye nyumba za ibada kwenye kuombewa kwa asilimia kubwa wengi wanaoamsha haya mapepo wanakuwa ni wanawake tuu.

Sijawahi kuona eti mtu mzima tena alovaa suti na tai yake eti anagalagala chini kaamsha mapepo hivi kuna siri gani kwenye hii jinsia ya kike kushambuliwa na hawa viumbe.

Mapepo siyo viumbe bali ni ugonjwa miongoni mwa magonjwa ya akili kitaalamu ugonjwa huo unaitwa Hysteria, unawashika hasa jinsia ya kike.
 
Back
Top Bottom