MJADALA: Kwanini Wanawake wanaongoza kuwa na majini/mapepo kwa kasi kuliko Wanaume?

lakini pia ninashauri ufanye tafiti zako zitakazopelekea wewe kupata practical findings na practical examples....utapata majibu...labda uwe umeamua kubisha tu ndugu yangu

Okay let's leave maandiko aside.

Let's go with logic and science

1. God is loving to both females and males equally, why would He make females with demons?

2. Science talks about hysterics and depression. Are females prone to these then males?
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Asilimia kubwa ya wanawake wa wapi?
Wanaoishi mjini? Vijijini? Watanzania? Waafrika? Duniani kote?

Wanawake ndo watu pekee wenye hofu ya Mungu??Sikubaliani na wewe!!

Neway swala la majini/mizimu japo natoa ''asilimia kubwa'' na kuweka ''baadhi'' naweza kukubali kwamba hua yanahusishwa sana na baadhi ya wanawake.

Na hiyo yote ni kwasababu hawaishi kwa waganga/kuamini majini/mizimu. Siwezi kusema wanawake wengi kuzidi wanaume hua wanajihusisha kwasababu sijawahi kupiga hesabu ila kwa mazoea naweza. Wanawake kutokana na kutojiamini ni rahisi sana kuanguka kwenye hayo mambo...kuamini kwamba yapo na yanawaandama pale mambo yanapoenda ndivyo sivyo..sio kwa sababu ni kweli ila kwasababu ya kutafuta mchawi ambae mara nyingi ni wao wenyewe. Kutaka kuamini kwamba sio yeye mwenye tatizo bali jirani yake anaemuonea wivu.

With that being said naweza kukubaliana na statement ya kwamba wanawake hua wanahusishwa zaidi na sio wanaandamwa na majini/mapepo/mizimu kwasababu sio kweli.

Nakumbuka wakati nasoma shule ya msingi kuna kipindi baadi ya wanafunzi walipatwa na ''mapepo'' ...walianza wawili kuanguka..wakaenda wakiongezeka. Na hata mimi niliamini kwa wakati ule kwamba ni kweli walikua wana mapepo mpaka nilipoona jinsi wale wote waliojisingizia hayo mapepo walivyokua wanatumia hicho kisingizio kufanya makosa and get away with it. Walikua full viburi..wanatoroka shule...wakitaka tu kupewa adhabu wanaanguka. Majumbani kulikua hamna kugombezwa...shuleni wanajiamulia mambo wenyewe ...hawakua na mapepo wala nduguye mapepo. Waliona tu msichana mmoja ambae alikua na kifafa (kilichotafsiriwa kama mapepo) alivyokua anatumia kifafa chake nao wakaunga tela kuongea na maneno ya ajabu ajabu ili tu na wao wadeke kwa muda.

Sijui mwanamke yeyote wa karibu yangu anaendamwa na mapepo...hata ambao wamewahi kuamini/jihusisha na mambo ya uganga wakidhani mizimu sijui inawaharibia mambo yao...inawafuata usiku walikuja kugundua ni waste of time and money. Hamna mizimu/majini wala mapepo inayowafuata....
 
Sijajua unataka mtazamo wa kidini au wa kidunia,nashindwa kujibu hapa!
 
Majin mengi yanakimbilia kwenye tumbo la uzazi ndo mana wengi hawakosi hayo majin. Pia na damu zilee majin upenda waweza ziona ndogo kwa macho ya kibinadamu ila ni nying kwa mcho ya rohoni. Mfano ukipigwa chale utaona dam kidogo imetoka ila wao wanakwambia ni kama lita 2 ivi uchukuliwa.
 
if you dont believe kuna mapepo
if you believe in science only...
hatutaweza kufikia 'kuelewana'
hapa tunazungumzia imani
and all atheist dont believe 'imani'

hapa mnalinganisha maembe matamu kuliko nyama.
 
Lizzy,
Hao colleagues wako walikuwa na akili sana...hata kama ni akili yenye mwelekeo hasi (negative)!!

Umenikumbusha jeshini....Binti akitaka kupumzika anadai msimbazi wamemtembelea.....Maswali na ukali wote wa afande unagota hapo!!!
 
Mapepo ya ngono kwa wanawake ni mbaya sana

Kwa wanaume je?

Sorry...jana nilisoma mahali kuwa huko Brazil, zaidi ya 30% ya wanaume (wa vijijini) wamewahi kufanya mapenzi na wanyama.....na wanyama wenyewe waliotajwa ni pamoja na kuku, mbuzi, ng'ombe na nguruwe!!


Kazi kweli kweli!!
 
Kweli topic hii ni ngumu maana inahusu mambo ya kufikirika na vitu visivyoonekana,mnaonaje wakuu mkiiacha?
 
Kwa wanaume je??


Sorry...jana nilisoma mahali kuwa huko Brazil, zaidi ya 30% ya wanaume (wa vijijini) wamewahi kufanya mapenzi na wanyama.....na wanyama wenyewe waliotajwa ni pamoja na kuku, mbuzi, ng'ombe na nguruwe!!


Kazi kweli kweli!!

Hehehe kwa hiyo mapepo yamewaingia asilimia 30 ya vijana wa vijijini Brazil?!
 
Back
Top Bottom