MJADALA: Kwanini Wanawake wanaongoza kuwa na majini/mapepo kwa kasi kuliko Wanaume?

wanawake wote wana mapepo....inasemekana wanapokuwa kwenye periods ndo mapepo huwaingiaile damu chafu inawavuta mapepondo maana kuna madhehebu mwanamke akiwa kwenye siku zake hatakiwi kutembea tembea..na siku zikiisha,anatakiwa afanye maombi maalumna wengine wakiwa kwenye siku wanakuwa na mood swings ,yote hayo sababu ya mapepo...
mmmh!!!!!
 
Sasa si tunaeleweshana. Unambie inasemekana tu bila ya kunambia wanatumia ushahidi gani, nikiuliza ishakuwa ligi tena!

Haya bana, nakuacha na myths zako.....allegedly wanawake wote wanamapepo

ili kuweza kueleweshana na wewe unijibu basi maswali
nimekuuliza wewe ni atheist?
sababu if you are
it will be 'a waste of time' kukuelewesha....
swali ni hili je wewe unaamini kuna mapepo?
 
mada inahusu mapepo
na mimi nimejibu kuwa 'inasemekana'
huelewi nini hapo?

the boss umejibu sawasawa. Kwanza itambulike chakula na kinywaji kikuu cha wachawi wanapokuwa katika shughuli zao wanatumia nyama za watoto<mostly mimba changa> na damu. watoto nyama zao ni laini so inaraisisha kuiva haraka na wachawi wengi ni wazee vibogoyo.

Wachawi wanajua wanawake ndio kiwanda chao cha kuzalisha damu kila mwezi wanakuwa na sehemu ya kugema dunia mzima. Ndio maana kunawanawake wengne wakiwa katika period wanaumwa sana hadi anahisi umauti hapo ni majini yanainyonya.
 
the boss umejibu sawasawa.kwanza itambulike chakula na kinywaji kikuu cha wachawi wanapokuwa katika shughuli zao wanatumia nyama za watoto<mostly mimba changa> na damu.watoto nyama zao ni laini so inaraisisha kuiva haraka na wachawi wengi ni wazee vibogoyo.wachawi wanajua wanawake ndio kiwanda chao cha kuzalisha damu kila mwezi wanakuwa na sehemu ya kugema dunia mzima.ndio maana kunawanawake wengne wakiwa katika period wanaumwa sana hadi anahisi umauti hapo ni majini yanainyonya.

Wachawi ndo mapepo?

And the blue part is hilarious
 
Mkuu Teamo heshima sana mi ningependa kukukumbusha kuwa hata kwa waganga wa kienyeji pia kinamama ni wa kutosha.
 
Mi nadhani ni kutokana na mfumo dume ambao umefanya wanawake wengi kuwa kama watumwa ndani ya jamii, kwahiyo matatizo karibu yote ndani ya familia yanamwelemea mwanamke kuliko mwanaume, ndiyo maana utakuta baa nyingi zimejaa wanaume kuliko wanawake
 
kwa hiyo mkeo/dada yako akiumwa na tumbo sana wakati wa siku zake tuache kumpeleka hospitali tumpeleke kanisani akaombewe eee

ndo maana wanawake wengi ni wacha mungu kama unaimani za kishrikina utampeleka kwa mganga,YESU NDO DAWA YA YOTE NDIO MAANA YULE MWANAMKE ALIYETOKWA DAMU KWA 12YRS ALIPOGUSA VAZI LA YESU ALIPONA instantly.
 
ndo maana wanawake wengi ni wacha mungu kama unaimani za kishrikina utampeleka kwa mganga,YESU NDO DAWA YA YOTE NDIO MAANA YULE MWANAMKE ALIYETOKWA DAMU KWA 12YRS ALIPOGUSA VAZI LA YESU ALIPONA instantly.

Hujajibu suali. Kama mkeo akiumwa na tumbo au akitokwa damu kwa muda mrefu hutampeleka hospitali utampeleka kanisani kuombewa?

Wanawake ni wachamungu kwa sababu wana mapepo?
 
Nafikiri pia inatokana na jinsi walivyo, wana mioyo ya kushawishika kirahisi and hence ni rahisi kuwashawishi wahudhurie ibada na pia hata kuingiwa na hivyo vitu ulivyovitaja, ni tofauti kidogo na sisi wanaume ambao kwa kiasi ni wagumu kuingilia na kushawishika ...
 
What has that got to do with the topic at hand?



I believe in aliens so I might as well believe in mapepo for today (taking the possibility that mapepo and aliens are one and the same)

if you dont believe kuna mapepo
if you believe in science only...
hatutaweza kufikia 'kuelewana'
hapa tunazungumzia imani
and all atheist dont believe 'imani'
 
if you dont believe kuna mapepo
if you believe in science only...
hatutaweza kufikia 'kuelewana'
hapa tunazungumzia imani
and all atheist dont believe 'imani'

Mimi sijakataa ushahidi wa kiimani. Hakuna hata sehemu moja nilokataa

Ninachokataa ni mdomo mtupu, watu kusingizia dini zinasema bila ya kutupa ushahidi.

Gimme ushahidi wa kiimani and I will be satisfied even if I might still not believe it.

I want to understand the grounds behind the notion that all women have demons.
 
Back
Top Bottom