Mjadala kuhusu katiba unaendelea sasa ivi idhaa ya kiswahili BBC | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mjadala kuhusu katiba unaendelea sasa ivi idhaa ya kiswahili BBC

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by Ibra Mo, Jan 5, 2011.

 1. Ibra Mo

  Ibra Mo JF-Expert Member

  #1
  Jan 5, 2011
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 795
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Wazungumzaji ni pamoja na Mbunge wa Chadema(UBUNGO)
  John Mnyika.
   
 2. k

  kikule Senior Member

  #2
  Jan 5, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 184
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mgeni mwingine alikuwa ni Juma Mhina ,mkereketwa wa Chama cha Mafisadi.Nimemsikia Juma Mhina katika mjadala huo akijionyesha jinsi gani yeye mwenyewe ni mwendawazimu.Anasema eti hakuna haja ya kuwa na katiba mpya na eti hoja ya katiba mpya wanaoitetea ni watu walosoma lakini wanakijiji na watu ambao sio wasomi hawahitaji hiyo katiba mpya eti wao wanahitaji kitatuliwa kero nyingine kama maji n.k.Yeye anasema katiba iliyopo inafaa kwa asilimia kama 90 hivyo hakuna haja ya kuandika katiba mpya kwani katiba mpya itakuwa na gharama na fujo nyingi kiasi kwamba wananchi hawatajihusisha na kazi za maendeleo.Mnyika katetea hoja zake kama kawaida kwamba katiba mpya iundwe lakini si kama Jk alivyo eleza
   
 3. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #3
  Jan 5, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Hivi ukiwa mwanachama wa ccm hata akili na busara za kawaida zinapotea!!! Ni ajabu lakini huo ndiyo ukweli.
   
 4. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #4
  Jan 5, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Ndiyo, unachukua akili zako nzuri unaficha chooni! Halafu sehemu mbovu ndani yako ndo una-display!
   
 5. Mwanamageuko

  Mwanamageuko JF-Expert Member

  #5
  Jan 5, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,796
  Likes Received: 1,294
  Trophy Points: 280
  Wanachokisahau ni kwamba aidha hawajui au wanafanya kusudi ...

  JE MWANAKIJIJI ASIEJUA KUSOMA WALA KUANDIKA ATAJADILIJE MABADILIKO YA KATIBA?
   
Loading...