kifupi kirefu
JF-Expert Member
- Oct 29, 2018
- 539
- 3,507
Mjadala mkubwa umeibuka kuhusu asili za viongozi waandamizi wa sekta mbalimbali huku hoja zikianzia kwenye mwonekano wa nje wa watu. Wapo wanaofananisha baadhi ya wanafamilia wa wateule au hata wateule na nchi jirani.
Je, vetting inapofanyika huzingatia hali ya ndoa au hujikita tu kwa mteule? Kiongozi mwandamizi akiwa na mwenza mwenye nasaba na nje ya Tanzania ina athari kwa Taifa? Kwanini watu wanaotiliwa mashaka ya asili zao na uzalendo kwa Taifa inaongezeka kwa kasi?
Je, hakuna mapandikizi wasiojua kwamba wao ni mapandikizi? Dola natumai mmenielewa vizuri zaidi, nadhani fanyeni analysis ya hiki kinachotokea leo kwenye uhai wa Tanzania mwaka 2035. Kumbukeni hata yule Mkuu wa Mkoa pasipo kujua aliwahi kusababisha ndugu wa wakwe wapate huruma wasiyostahili. Tupo salama?