Mjadala - Kitabu cha unyama wa Paul Kagame: Behind the Presidential Curtain: Inside Out of real Paul Kagame

Hivi kabla hamjaanza kushangilia yaliomo kwenye hicho kitabu mnamjua aliekiandika ni nani kwanza? Huyo jama Marara kweli alikua kati kikosi cha kumlinda raisi na alikua dereva katika miaka hio ya mwishoni 90's alikua anaendesha vifaru walivhoachiwa na UN kwa ajili ya usalama wa viongozi. Kwa vile alikua uneducated young man hakua anakaa na senior officers mpaka ahadisiwe kinachoendelea. Alitimuliwa jeshini na kukimbia nchi na huko ulaya aliko anatafuta attention tu watu kwani ameshakosana na aliokimbia nao wengi huko ughaibuni.

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeweka mambo sawa, mwenye kuelewa na aelewe Inshaallah
 
Does that fucking change that kagame is a killer ..na he will die horribly one day
Hivi kabla hamjaanza kushangilia yaliomo kwenye hicho kitabu mnamjua aliekiandika ni nani kwanza? Huyo jama Marara kweli alikua kati kikosi cha kumlinda raisi na alikua dereva katika miaka hio ya mwishoni 90's alikua anaendesha vifaru walivhoachiwa na UN kwa ajili ya usalama wa viongozi. Kwa vile alikua uneducated young man hakua anakaa na senior officers mpaka ahadisiwe kinachoendelea. Alitimuliwa jeshini na kukimbia nchi na huko ulaya aliko anatafuta attention tu watu kwani ameshakosana na aliokimbia nao wengi huko ughaibuni.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ni Mtusi au Mhutu tuanzie hapo halafu tupe source ya taarifa.

Je si kweli kwamba Kagame anataka afie kwenye kiti ?

Hata mimi naona kuna exaggarations kwenye store lakini jinsi alivyomuonea yule Dada kwa kugombea Urais, kumweka ndani na kumfilisi mali zake kuna ukweli kuhusu tabia yake. Anadhani yeye Mungu. Ni pumzi tu ndio inamdanganya.

Propaganda unazojaribu kuleta zimepitwa na wakati, na bado store nyingine zitakuja tu toka kwa hao educated kama wewe nyambaf.

.
Hivi kabla hamjaanza kushangilia yaliomo kwenye hicho kitabu mnamjua aliekiandika ni nani kwanza? Huyo jama Marara kweli alikua kati kikosi cha kumlinda raisi na alikua dereva katika miaka hio ya mwishoni 90's alikua anaendesha vifaru walivhoachiwa na UN kwa ajili ya usalama wa viongozi. Kwa vile alikua uneducated young man hakua anakaa na senior officers mpaka ahadisiwe kinachoendelea. Alitimuliwa jeshini na kukimbia nchi na huko ulaya aliko anatafuta attention tu watu kwani ameshakosana na aliokimbia nao wengi huko ughaibuni.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilisoma kwenye gazette moja la Ulaya, Janet Kagame ndiye muendeshaji wa miradi ya familia. Huwa anasafiri sana kwenda Marekani kwa shughuli za biashara na kusimamia matibabu ya mume wake.

Tofauti na wake wa madiktekata wengine kama Grace Mugabe,Janet Kagame ana play a low profile. Hata shopping anafanya ya kawaida tu si kufuru.
Kumbe download hicho kitabu hapo juu ktk post namba 20 uone ukatili wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona hatupati store za upande wa pili huyu jamaa amekandya kinyama .

Tuambie wana JF huko Kigali maisha vipi kwa sasa ?
Kuna watoto wakali sana huko kila dizain sidhani kama wana roho mbaya kama jamaa alivyokandamiza.

Au labda KCRA ya Rwanda watadukua simu zenu mtaishia pabaya.

Karibuni bongo pamoja na matatizo sisi tumetulia na mbegu kama za Kigali zinatuchanganya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jana kwangu ilikuwa siku nyingine ya kufurahia kuwa sehemu ya member wa jamii forum. Hii ilitokana mwanajamii mmoja nzagambadume kupost link ya kitabu kilichoandikwa na mlinzi wa raisi Kagame aliyekimbilia UK kuepuka kifo kilichokuwa tayari mlangoni mwake.

KWA NINI NAMTAJA KIKWETE NA MEMBE

Kwanza ijulikane wazi kuwa Watanzania wengi tulifahamu kuwa Kikwete alikuwa raisi mpole na kufikia hatua ya tukamuita raisi dhaifu aliyezungukwa na marafiki wabaya (walio na hulka ya kujinufaisha wao na familia zao). Nakumbuka nikiwa navuka Mtukula kwenda Kampala siku hiyo sitausahau hasa baada ya kukuta kundi la raia wa Rwanda wakiwa na mizigo yao wakifurushwa kurudishwa Rwanda bila kujali walikuwa na mifugo au makazi,wameoa Watanzania au Watanzania wamewaoa walilazimishwa kurudi makwao kwa amri ya raisi Jakaya Kikwete!!.

Pale mpakani alikuwepo mama mmoja na mwanae wamelala kandoni kidogo mwa barabara huku mtoto akiwa na hali mbaya bila nguo ndipo utu wa Kitanzania niliuona pale kwani yule mama kama alitoka hapo basi hatasahau maisha yake yote kwani alichangiwa na abiria wa Kitanzania kwa kupewa vyakula, nguo na pesa na katika basi gumzo ilikuwa Kikwete ana bifu na Kagame lao binafsi lkn limesababisha hadi wasiohusika wanataabika ukweli hata mimi nilikuwa mmoja wa waliokuwa wanamshutumu raisi. Tulienda mbali kwa kusema huu ukatili si angeuelekeza kwa wezi walioko serikalini mwake lkn msimamo wa Kikwete ulikuwa palepale na hadi anatoka madarakani sikumbuki kama Kikwete alishawahi kwenda ziara Rwanda.

MEMBE ambaye alikuwa mtu wa karibu wa raisi Kikwete wengi tulijua ni usalama wa Taifa (TISS) hivyo tulifahamu kuwa linalotokea baina ya Tanzania na Rwanda basi kwa namna moja Membe alikuwa anafahamu tukizingatia kuwa alishakuwa waziri wa mambo ya nje kwa miaka kadhaa.

KITABU CHA NOBLE MARARA
Kitty hiki ukianza tu kukisoma sio tu utastaajabu usiyoyafahamu kuhusu Kagame ila utashangaa kwa nini tuna urafiki na mtu dizaini hii (Kagame na Rwanda). Kitabu kimemweka wazi Kagame maisha yake,tabia yake,ukatili wake,namna anavyosuka mipango ya mauaji na namna anavyoplan kujisafisha namna alivyokuwa anazini na wake za watu wake wa karibu akiwa analindwa na ma body guards wake!!

Mtu anayeandika kitabu hiki kumbuka ni mtu aliyekuwa anamlinda Kagame kuanzia asubuhi gadi asubuhi nyingine, yeye mwenyewe kashiriki mauaji akifikiria anailinda Rwanda na Kagame kumbe ni chuki na kujiimarisha tu kwa Kagame rafiki wa karibu wa Tanzania kwa sasa!! Hadi anatoroka alikuwa tayari yuko kwenye target za Kagame

Katika haya maelezo mafupi sana nimeelewa sasa kuwa Mh. raisi Mstaafu Kikwete alibaini na kujilidhisha pasipo shaka kuwa urafiki na huyu mtu sio kabisa hasa baada ya majeshi ya Tanzania kuwapa kichapo M23 jeshi katili la Kagame kipindi hicho huko DRC

Sent using Jamii Forums mobile app
Urafiki wa Kagame na Tz ni wa kimaslahi tu. Once that is accomplished, they can do anything to him. Tz will not intervene, like we always do.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu asante sana kwa andiko zuri binafsi naamini katika uzi huu na ntajifunza mengi kupitia kitabu hiki maana tayari nnacho ombi langu kwa Mods kama wanaweza kukitafasiri kwa lugha yetu adhimu ya kiswahili ili watanzania wengi tuweze kutambua kwa Kina nini kinaendelea kwa dikteta huyu ambae tunaaminishwa kua ni mtu na kiongozi mzuri katika ukanda huu wa Africa ya mashariki

Sent using Jamii Forums mobile app
Kiko online
Unaweza ukaki download chote mkuu

Ova
Screenshot_20190416-092835.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom