Mjadala - Kitabu cha unyama wa Paul Kagame: Behind the Presidential Curtain: Inside Out of real Paul Kagame

Mbona picha ya Kagame kwenye Cover page ya kitabu ina mapembe? Maana yake nini wajuvi wa mambo, mwandishi anaportrait (anaonyesha) nini kuhusu Kagame kupitia hizo pembe? Kwa kweli sijaelewa bado?
Jalada la kitabu limesadifu yaliyomo katika kitabu

Dhamira kuu ya kitabu ni unyama wa Paul Kagame hivyo zile pembe zinaakisi unyama huo kwa lugha ya picha.
 
Jamani kwa kweli nawashauri mkisome hiki kitabu chote maana yaliyomo ni maovu makubwa sana. Kagame ni zaidi ya dikteta. Ni afadhali Idd Amin, Bokasa, Sanko na madikteta wengine mara 1000 kuliko Kagame. Huyu Kagame ni nyoka, yaani GREEN SNAKE IN GREEN GRASS. Kwa kuwa amekuwa akija Magogoni mara kwa mara, nina wasiwasi tayari ameishamuambukiza mkuu wa kaya. Naomba tumkemee huyu nyoka mwenye sumu kali asipende kuja hapa nchini mara kwa mara asije akatuletea shida siku za usoni.
 
Katika page ya 73 mwandishi Noble Marara ambaye ni bodyguard wake wa zamani anazungumzia roho ngumu ya jamaa akiwa na wasiwasi mkubwa wa mambo mabaya aliyowafanyia wahutu hapo Rwanda na Congo.

Kagame ali fake shambulio in 1998 kuua raia waliokuwa wakiangalia mpira hotelini ili awasingizie Interahamwe lakini aliyepewa jukumu la kusimamia hilo(captain Kwizera) alilewa chakari, matokeo yake askari wa RPF waliojifanya Interahamwe walifika hotelini hapo wakashangaa kuona kuna wanajeshi wa RPF nao wanaangalia mpira wakapiga simu kwa wakubwa yakatolewa maelekezo wale askari waondoke hapo haraka.

Raia wajanja walivyoona zile movement wakshtuka nao wakasepa, waliobaki ndani baadaye walikufa maana ile hoteli iliungua ikabaki majivu. Baadaye radio Rwanda ilitangaza ya kwamba shambulio lilifanywa na Interahamwe

Mkuu tupia vitabu vingine very navyomuhusu huyu jasusi hakika anafurahisha na kuhuzunisha ni jasiri asiyeogopa kifo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu asante sana kwa andiko zuri binafsi naamini katika uzi huu na ntajifunza mengi kupitia kitabu hiki maana tayari nnacho ombi langu kwa Mods kama wanaweza kukitafasiri kwa lugha yetu adhimu ya kiswahili ili watanzania wengi tuweze kutambua kwa Kina nini kinaendelea kwa dikteta huyu ambae tunaaminishwa kua ni mtu na kiongozi mzuri katika ukanda huu wa Africa ya mashariki

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe kwanini hujakwenda Shule?
 
Stori zakutunga hizi kutoka kwa maadui wa Kagame, sasa Kagame alimuuaje Rwigema wakati yeye Kagame alikuwa masomoni Uingereza Rwigema alivyouwa???sitaki hata kufuatilia habari hizi..jamaa wameshindwa vita sasa wamehamishia vita mtandaoni.
 
Upande wa pili hauna nyimbo. Inaelekea kuna ukweli "fulani" kwenye hizi nondo kwa PK sababu jamaa wa Rwanda humu wamo lakini inaonekana wanahofu kubwa kuchangia uzi.

Wanaogopa kikosi maalum kitadukua simu zao wataishia pabaya. PK kawabana mpaka wanashindwa hata kupumua.

Hiyo ni dalili moja kwamba nondo za jamaa zina ukweli na mambo si shwari. Ajabu yenyewe hata wanaomshabikia PK nao wamefyata mkia.






Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani wewe ulivyoelewa ni kwamba amemmuua yeye mwenyewe kwa mikono yake. Wewe ni Mhutu au Mtusi.

Hata mimi sikubaliani na mambo mengi lakini tulia una po comment sio kuropoka.
Stori zakutunga hizi kutoka kwa maadui wa Kagame, sasa Kagame alimuuaje Rwigema wakati yeye Kagame alikuwa masomoni Uingereza Rwigema alivyouwa???sitaki hata kufuatilia habari hizi..jamaa wameshindwa vita sasa wamehamishia vita mtandaoni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nnyie ambao lugha haipandi ndio mnaotuharibia. Mnashindwa kusoma kingereza rahisi namna hii halafu mna simu janja kali mko JF.

Nyie ndio mnaopigia makofi kila kitu sababu hamjui tofauti ya maigizo na uhalisia. Eti Mods atafsiri mkafie mbele !!!!

OK inawezekana mko Kigali mnajua French zaidi ila kana ni Wabongo humu nendeni mkale maharage Mods hawezi kutafsiri

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha alafu kwenye post zingine wanajidai at Wana mastes degree hahaha hapa kwenye lugha wanakuwa wapole sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Stori zakutunga hizi kutoka kwa maadui wa Kagame, sasa Kagame alimuuaje Rwigema wakati yeye Kagame alikuwa masomoni Uingereza Rwigema alivyouwa???sitaki hata kufuatilia habari hizi..jamaa wameshindwa vita sasa wamehamishia vita mtandaoni.
Hakumuua kwa mkoo wake alitumwa sniper aliyemdungua toka mlimani naye baadaye akauliwa kuficha siri,jiulize hadi leo kwa nini mjane wa Rwigema passport yake imekuwa confiscated na anaishi maisha ya tabu,kuna kipindi meja jenerali salim salehe alikuwa anamsaidia hela ila huo msaada ukakatwa nao kwa amri ya kagame.Its a matter of time mengi yatakuwa hadharani
 
Kagame alipiga simu kwa doctor wake ikapokelewa na house girl mweye miaka 16 aliyekuwa ametoka kijijini akaamrisha ampe simu doctor dada akakataa maana jamaa alikuwa kalala,dada maskini hakujua anaongea na nani,kilichofata ni kagame kuamrisha msafara ujipange waende kwa doctor kumbuka mwandishi marara yote alikuwa anashhudia maana alikuweko PPU(presidential protection unity)
kufika pale kauliza nani alipokea simu,ka dada kakasema ni mimi,Kagame kamrukia kamipga kama mwizi,vichwa,mateke,ngumi hadi doctor kaamka na kumuombea msamaha,ila kagame akaamuru yule binti afukuzwe kazi
Hahaha dictator kagame Ni balaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
yanasikitisha mengi humo,jamaa kagonga sana wake za washkaji zake,kaua sana na bado anaua,kapiga sana mke wake,kambadilisha mke wake kutoka kuwa sweet Mom hadi muuaji maana wife na yeye sasa hivi katili kukiwa na mipango ya kumpa U rais kama jamaa ataachia
wakiwa porini yeye na wakubwa wa jeshi wamegonga sana vibinti vidogo hadi vya miaka 14,personally akaagiza kubakwa na kuuliwa kwa nesi aliyekuwa amejitolea kuwatibu RPF tangu wakiwa maporini huo Uganda
Ana ulcers na mara nyingi huwa anatapika na kuharisha kuna wakati alipata hilo tatizo doctor akasema kapewa sumu,wapishi wake wawili wakateswa sana kumbe haikuwa sumu,kuna siku wakiwa kwenye msafara akatapika kwenye gari mwandishi wa kitabu akawahi kusafisha seat jamaa akazuga anatoka nje ya gari kuongea na simu,mwandishi marara akamuuliza if he is okay jamaa akampiga ki pepsi cha kichwa
Naam ukurasa wa 119 unaekeza jinsi mke wa kagame alivyo na roho mbaya,alimwekea sumu Mrs inyumba kisa alikuwa maarufu wakaona anawz kuwapindua
Mrs inyumba alikuwa mmoja wa waanzilish wa rpf aliyejitolea kwa Hali na mali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiki kitabu nilikisoma tokea mwaka jana mwanzoni, muandishi kaelezea mambo mengi sana kiasi nikawa najiuliza alikuwa na diary ya kuandika yote hayo wakati yanatokea? Mbona anaelezea kwa ufasaha mambo mengi sana?
Hasa watu waliokumbana na dhahma za PK...

Moja kati ya mambo yaliyonishtua mwanzoni kabisa mwa kitabu kile ni page hii ktk picha View attachment 1073086

Kama sikosei pia kuna sehemu muandishi anasema Mr. Slim yupo ktk gridi....

Kama mtu makini lazima upembue kwa kina anachokisema muandishi maana ni ‘adui’ wa Mr. Slim hivyo kuna mambo mengine huenda sio kweli kayafanya yeye ila juu ya ugomvi baina yao atasema vinginevyo.


Sent from my iPhone using JamiiForums
Hata hivyo Mr slim physique appearance anaonekana yupo ktk grid

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kagame alipiga simu kwa doctor wake ikapokelewa na house girl mweye miaka 16 aliyekuwa ametoka kijijini akaamrisha ampe simu doctor dada akakataa maana jamaa alikuwa kalala,dada maskini hakujua anaongea na nani,kilichofata ni kagame kuamrisha msafara ujipange waende kwa doctor kumbuka mwandishi marara yote alikuwa anashhudia maana alikuweko PPU(presidential protection unity)
kufika pale kauliza nani alipokea simu,ka dada kakasema ni mimi,Kagame kamrukia kamipga kama mwizi,vichwa,mateke,ngumi hadi doctor kaamka na kumuombea msamaha,ila kagame akaamuru yule binti afukuzwe kazi
Duh

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huenda ni kuchafuana tu! Si kila kitu cha kuamini huenda mwandishi kazidisha chumvi ili kumpaka matope adui yake.
Nimeyasema humu ndani kua mwandishi katika baadhi ya mambo ametia chumvi watu wakaanza kuniuliza kama mimi ni mhutu au mtusi? Mimi sio mnyarwanda lakini namjua huyu mwandishi. Kwanza tukumbuke ana miaka 19 hajakanyaga Rwanda, lakini ameachambua mambo yaliotokea huko baada ya yeye kutoroka nchi as if alikuepo. Ni vizuri pia kutomfanya kua only our reliable source ya yaliotokea. Katika kitabu chake hakuna mahali aiposema kua kuna hata operation moja aliohusika/shiriki. Za kuambiwa......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom