Mjadala;kipi bora, kabla ya kuoana rasmi ni bora kufanya mapenzi au ni bora ufanye baada ya ndoa rasmi

Mkuu usijejichanganya ukaoa dem kabla haujambebesha mimba, utakuja jutia kwann upo hapa duniani. Kaka hawa watu waone tu wanatembea ila kuna magarasa hayo ww skia tu.

Niliwahi kamata garasa moja la kinyalu, aiyaaa....lina utasa na hedhi za hovyohovyo kabisa. Subamiiit, nililinyang'anya pete nikalibwaga kwa wajomba zake...aisee. Lipo apa mjin apa limejiweka mme wa mtu. Mie nshakamata mwenzie tunalea saiz.

Sjui, labda kama umeyakubali hayo.
Mkuu umetumia maneno makali sana!
 
unaxubiri ad ndoa...unavumilia mitego mtaani...mara paaap unakumbana na maji kisimani....uchafuu..af ata kukatika halijuii...too bad then
 
Mkuu usijejichanganya ukaoa dem kabla haujambebesha mimba, utakuja jutia kwann upo hapa duniani. Kaka hawa watu waone tu wanatembea ila kuna magarasa hayo ww skia tu.

Niliwahi kamata garasa moja la kinyalu, aiyaaa....lina utasa na hedhi za hovyohovyo kabisa. Subamiiit, nililinyang'anya pete nikalibwaga kwa wajomba zake...aisee. Lipo apa mjin apa limejiweka mme wa mtu. Mie nshakamata mwenzie tunalea saiz.

Sjui, labda kama umeyakubali hayo.
pointi
 
Kuepuka kukutana na maumbile ya ajabu km vijana mtakavyo.basi bora mtest manake siku hizi ndoa ni ngono tu...kuepuka mabwawa na vibamia mjalibiane tu...
 
Back
Top Bottom