MJADALA: Je, ni sahihi waimbaji wa nyimbo za dini kushiriki matamasha ya kidunia?

Amani iwe nanyi nyote.
Nimeona clip ikimuonyesha muimbaji wa nyimbo za injili mchini, Goodluck Gozbert akitumbuiza kwenye tamasha la Tigo Fiesta huko Mwanza. Nimeshangaa na kujiuliza maswali;
i/Mtumbuizaji anaelewa maudhui ya tamasha lile?
ii/Waandaaji walifikiria nini kumleta muimbaji wa nyimbo za injili kwenye tamasha linalokutanisha watu wa imani tofauti tofauti?
iii/Je, kilichofanyika ni halali kidini na kijamii pia?
Karibuni tujadili na kueleweshana pale pasipoeleweka.
Nawasilisha.

You r so stupid.
 
Ile ni sehemu ya burudani, watu walienda kuburudika pale sio kuhubiriwa... kwa lugha rahisi yenye alienda kuburudisha waliofika pale ndio maana alitumbuiza mpaka na viuno alikata ili watu wafurahi.
Very Stupid..
 
hawana
Vipi rose mhando, mwaitege, mwaipaja hawapo fiest mwaka huu???

Naona clous wameishiwa wameanza kuweka kwaya fiesta
Hawana nyimbo mpya mi naona msanii GG anaimba nyimbo za uhamasishaji sio za kiinjili kivile maana anatunga hao ulio wataja.wanahamisha mistari kutoka ktk Bible ndio maana wakristu ni wanafki kwa mwenzao GG eti ni kidunia sasa sijui wao ni wa kimbinguni
 
Mkuu, jamaa alituma maombi mwen
yewe akashindanishwa na waombaji wengin
e, akashinda.

Kwa hiyo kama kitu hakimtii hatia moyoni
muhusika na hakivunji sheria ya nchi, wacha
afanye kwa utashi wake.
Hakutuma maombi watu wa mikoa husika ndio wanamuita na ameitwa akatae????! Mwacheni
 
Inaweza ikawa sahihi, lakini huoni kama
wale waliokuwa dini tofauti walikwazika au
pengine walidharau dini ya mtumbuizaji?
Ukiangalia ile show watu woote wanaitikia tena wanashangilia vibaya mno kama na wewe ni mkristo acheni kuogopaogopa jamaa yupo sahihii kabisa tatizo wengi wenu vichwa vigumu kuelewa ila mtakuja kuelewa
 
Amani iwe nanyi nyote.

Nimeona clip ikimuonyesha muimbaji wa nyimbo za injili mchini, Goodluck Gozbert akitumbuiza kwenye tamasha la Tigo Fiesta huko Mwanza. Nimeshangaa na kujiuliza maswali;

i/Mtumbuizaji anaelewa maudhui ya tamasha lile?
ii/Waandaaji walifikiria nini kumleta muimbaji wa nyimbo za injili kwenye tamasha linalokutanisha watu wa imani tofauti tofauti?
iii/Je, kilichofanyika ni halali kidini na kijamii pia?

Karibuni tujadili na kueleweshana pale pasipoeleweka.

Nawasilisha.

Huyo nae mchumia tumbo tu hakuna jingine
 
mngekuwa Kenya msingeuliza maswali hayo ya kipuuzi, Huwa mnaangalia channel za Kenya mkaona hiyo miziki Yao ya Gospel? sasa hao wasanii Wana perform hadi club
 
Dady kasema injili popote Ndo Maana aliruhusu mpk kwenye kumbi za starehe! Ila yote kwa yote goodluck anahamasisha tu sio a real gospal singer
 
Kaka jamaa yuko sahihi kabisa. Neno la Mungu linahubiriwa popote pale bila mipaka ili kuwarudisha kundini waliopotea kwa anasa and etc.
Kwani alikuwa anahuiri au anaburudisha? Hebu lete tofauti
 
Hizo sio nyimbo za dini, ni za kidunia tuu kama anazoimba Mondi. Tofauti yake ni wao kutaja taja mistari ya biblia na yesu tuu. Kama hizo ni gospel basi hata zile za Remi Ongalla alikuwa anaimba gospel
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom