Mjadala: Je, ni sahihi kuweka udhaifu na siri za ex wako hadharani?

Huyu demu kichwa kina kupwa na kujaa haaa post anazutuma yeye humu anaonekana mtu fulani asiyeweza kukaa na jambo bila kusema watu wafahamu nashangaa kwel
 
Inategemea ni siri zipi,kama eti hajui kunjunjana,ana kiharufu fulani,hana tako,ana mimaji n.k hzo sio ila kama ni mdangaji na ushahidi unao unamwagika tu,kama mbwai mbwai tu ya nini kukaa na mistress wakati nikiitoa ndio napata relief
 
Back
Top Bottom