Mjadala: Je, ni kweli Magari aina ya Nissan Xtrail ni mabovu?

Msaada katika magari aya.
Toyota Noah exhurb toyota noah super. Ipi ni imara sana kwa shughuli za apa na pale.
 
Usipeleke gari service vichochoroni,,,peleka kwa dealers ambao wamekuwa authorised na Nissan kwan ndo wanayajua magari vema. Ukipeleka kichochoroni unapigwa oil fake unaendesha wiki mbili then autoparts zina kuwa useless. Tuache janja janja ya kukwepa gharama.
Nissan X trial gari ya kitajirii sana, sio ya kipato cha Chini
 
hiv bongo wanaopeleka service kwa AUTHORIZED DEALER wanazidi 100 kweli ukiacha magari ya serikali na makampuni? Enzi zile za giza (awamu iliyopita) kuna rafiki yangu alipata mkopo wa VX la kazini kwao(kwa 3m) akawa anafanyiwa service bure na dealer wa ofisini kwao sasa awamu hii imebidi atangaze kuliuza lakin nako kupata mteja ishuuuu. Hali IMEKAZWA!!
 
Mkuu mi Nissan yangu inasleep ikiwa kwenye mwendo lakini ukitoa D halafu ukiweka kwenye N ukizima gari na kuwasha ukurudisha D inapokea vizuri lakini baada ya mwendo tena inajirudia, tatizo linaweza kuwa nini kwa kuanzia mkuu
Duu we jamaa jasiri sana.gari inazima kwene mwendo bado unasonga nalo. Nashaur ulitengeneze kwanza na ujiridhishe liko sawasawa.
 
Mi magari ya kufungua bonet kila asubuh kuchungulia kama maji yanatosha, mara unachoma hita kwanza hadi lipate moto siyawezi.

Napiga full sevis nacheki oil na culant ziko poa tunaonana tena sevis ijayo. Kufunguafungua gari mara kwa mara s'tym ndo unaalika mafundi wakuchomolee vitu orijino na kukubambika feki.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom