Mjadala; Je, kuna muongozo upi ulio sahihi kuhusu ajira za kufundisha vyuo vikuu hususani kwa Mkufunzi msaidizi?

CCM MKAMBARANI

JF-Expert Member
Mar 15, 2017
1,350
938
Ndugu wanajukwaa la elimu poleni na jitihada za kuipigania elimu yetu.nikienda moja kwa moja katika mada inavyouliza hapo juu.Nimeamua kuleta mbele yenu kama mjadala baada ya kufatilia kwa muda mrefu nafasi mbalimbali za ajira kwa tutorial assistants nchini.

Kumekuwa na sifa zinazoainishwa zikiwa tofauti tofauti kutoka chuo kimoja hadi kingine.mf. Chuo kikuu cha dodoma (UDOM) Na university of dsm (UDSM) wao mara zote huitaji G.P.A Kuanzia 3.8 wakati vyuo vingine kama CHA mipango dodoma (IRDP) Kikihitaji 3.5 kwenda mbele kwa tutorial assistant kazi.

Je muongozo sahihi ni upi? na kwanini kila chuo kijisikie kuwa na muongozo wake kwa nafasi hizo wakati mamlaka zimeweka muongozo rasmi?. N.B.HONGERA KWA WATU WALIOPIGA G.P.A ZA NGUVU VYUONI KAMA 1.RAYMOND SHITOBELO (SAUT)-MHADHIRI MSAIDIZI (UDOM). 4.9 SOCIOLOGY
2.PALAMAGAMBA KABUDI (PROF) 4.9. NA WENGINEO WENGI. KARIBUNI TUJADILI.
 
Hii siti inanifaa !! Ngoja nipekue kwanza ilani ya chama chenu kuhusu Elimu &Ajira
 
Kila chuo kina taratibu zake, taratibu za saut sio lazima ziwe sawa na za dit. Kikawaida ni uwe gpa ya 3.8 na uwe vyema academically.
 
Back
Top Bottom