MJADALA: Je, kuna madhara yoyote ya kufanya mapenzi wakati wa hedhi?

Hivi hizo sijui zitakua ni genye zenye mshindo wa aina gani, kwanini usimsubiri mpaka amalize hizo siku mbili tatu ili upate kitu kitamu vizuuuri. Haya mambo yakuleta ugunduzi au ufundi kwenye mitambo inayovuja itawagharimu siku moja.
 
Sista kama ulikuwa unadhani kwamba siku za hedhi ni siku salama basi hesabia umeumia
Maana ya hedhi kwanza ni yai la mwanamke linatoka kwenye kizazi likiwa limejivunja vunja kama uchafu ndo maana linakuja na dam so hua lichukua siku 3-5 kuisha kabsa

Kwa mantiki hio siku ya hedhi ni salama kabsa coz kule kwenye kizazi hakuna yai la kushika mimba linakua lishaharbika ndo linatoka.
Watu wa zaman ndo walikua wanajidanganya niko kwenye siku zangu za htr

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli kivipi Mbiti?

Akili imechoka kuandika! kwanza faham kipindi cha kunasa mimba mama anakuwaga vry hot alafu ana discarge fulan (mucus) !sasa ule ute wa kuteleza ndo huwa unakuepo wakat wa mp! na wakat wngn huwa tunaufel kuanzia 11dys na kuendelea huwa unajulikana tu hata ukiwa ktk movement zako!sasa ukiskia mtu yuko mp lakini ana unyeke wanadai akisex sk hyo anapata mimba! mie nawajua watu wakiduduana wakiwa hedhi wananasa frsh kbs!kuna DK hapa ngj nimtag Vladimirovich Putin njoo hapa utoe sababu za kisayansi.
 
maana ya hedhi kwanza ni yai la mwanamke linatoka kwenye kizazi likiwa limejivunja vunja kama uchafu ndo maana linakuja na dam so hua lichukua siku 3-5 kuisha kabsa

kwa mantiki hio siku ya hedhi ni salama kabsa coz kule kwenye kizazi hakuna yai la kushika mimba linakua lishaharbika ndo linatoka
watu wa zaman ndo walikua wanajidanganya niko kwenye siku zangu za htr

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kwamba yai la (mfano) kushoto ndo line vunjika vunjika ila la upande wa kulia linakuwa lipo fresh kwa kupokea mbegu za kiume?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sina uhakika......ila wengi wao ikikaribia ndo wanakuwa genye balaa......ukiupachika ukichomoka....duh shuka halifai......
 

Similar Discussions

5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom