MJADALA: Je, kuna madhara yoyote ya kufanya mapenzi wakati wa hedhi?

Sio kama unavyodhani, kuna wanawake wengine wao mayai yao huwa tayari kurutubishwa only kwenye siku za hedhi(I mean siku zao za hedhi ndio siku za hatari) Kwahiyo ndomana unakuta wanawake wengi wanajiona tasa kumbe wanatakiwa wasex kwenye siku za hedhi ili mtoto aweze kutungwa
How? Naomba elimu hapo!!
 
Sio kama unavyodhani, kuna wanawake wengine wao mayai yao huwa tayari kurutubishwa only kwenye siku za hedhi(I mean siku zao za hedhi ndio siku za hatari)

Kwahiyo ndomana unakuta wanawake wengi wanajiona tasa kumbe wanatakiwa wasex kwenye siku za hedhi ili mtoto aweze kutungwa
Refference
 
Sio kama unavyodhani, kuna wanawake wengine wao mayai yao huwa tayari kurutubishwa only kwenye siku za hedhi(I mean siku zao za hedhi ndio siku za hatari)

Kwahiyo ndomana unakuta wanawake wengi wanajiona tasa kumbe wanatakiwa wasex kwenye siku za hedhi ili mtoto aweze kutungwa
Mkuu tunaomba elimu kidogo hapo
 
Nimewahi kujaribu kufanya mapenzi wakati wa hedhi,ila sikupata raha yoyote kwa sababu ya ubaridi wa mwanamke na kutoka damu nyingi wakati wa tendo ,vilevile uke unakuwa umelegea na kuwa kama bwawa.
Nakubali amepotea yule ambae hana muongozo au muongozo wake umetiwa mikono ya Wanaadam na kazi yake kufuata akili za watu kupitia mitandao,

Nashukuru Mungu kwa kujaalia muongozo ambao hauna Shaka ndani yake (Qur-an). Hedhi ni uchafu ndio maana mwanamke amesamehewa hata kusali, kufunga hata kukutana kimwili na mwenza wa halali.

Leo unakuja na blabla zako zakua masisha ujinga mawazo haya hayana tofauti na ya aliyekua wazili wa Uingeleza David Cameron na Kiongozi wa Kanisa la Anglican

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila mie nihudumie, ule gambe mwisho wa siku uniambie upo pluto nooooo way, lazima nirarue, tunafuta ngoma inaendelea.

driller⛏⚒
 
Nimeshawai kula huo mchemsho mara mbili lakini mara zote nilimaliza kwa hisia tu, hakuna raha yeyote! mwanamke hana joto hata kdg, bora kupiga punyeto"
 
Back
Top Bottom