MJADALA: Je, kuna madhara yoyote ya kufanya mapenzi wakati wa hedhi?

akili imechoka kuandika! kwanza faham kipindi cha kunasa mimba mama anakuwaga vry hot alafu ana discarge fulan (mucus) !sasa ule ute wa kuteleza ndo huwa unakuepo wakat wa mp! na wakat wngn huwa tunaufel kuanzia 11dys na kuendelea huwa unajulikana tu hata ukiwa ktk movement zako!sasa ukiskia mtu yuko mp lakini ana unyeke wanadai akisex sk hyo anapata mimba! mie nawajua watu wakiduduana wakiwa hedhi wananasa frsh kbs!kuna DK hapa ngj nimtag Vladimirovich Putin njoo hapa utoe sababu za kisayansi
Cases za namna hiyo ni chache sana, hata kibaiolojia ni wanawake wenye mizunguko mifupi na wenye undefined mp tu ndio huweza kunasa kama wakifanya kipindi cha mp.

Kama una mzunguko kuanzia 26-32days na ipo haubadiliki it's almost impossible kunasa mimba coz mbegu za kiume zinakuwa hai for 3-5days after intercourse.

Doctor aje aseme kitabibu.
 
Mi kuna manzi nilimgonga, kumbe alikuwa kwenye hedhi, ss cha kushangaza kuna harufu Kali nikawa naisikia, pozi taratibu ikaondoka na mzuka ukaanza kushuka, bac manzi akanishtukia akawa ananiuliza unaisikia hiyo harufu?

(huku amelegea akiwa ananiuliza), hedhi hiyo mpnz usijali. Heh!!! Nikakochomoa dude langu kwa kuhamaki huku namuangalia usoni, kwa ufala wake (sorry ladies, it's not my intention to say this) anataka niendelee na game huku akiwa amemind.

Nikamuacha kama alivyo, na akaanza kunichunia from that day, yaani namuona mwendawazimu mpk mida hii. Hiyo ni from back to 2012

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kama unavyodhani, kuna wanawake wengine wao mayai yao huwa tayari kurutubishwa only kwenye siku za hedhi(I mean siku zao za hedhi ndio siku za hatari)
Kwahiyo ndomana unakuta wanawake wengi wanajiona tasa kumbe wanatakiwa wasex kwenye siku za hedhi ili mtoto aweze kutungwa
We kilaza kweli yaani hujui kuwa ile damu ni mchanganyiko wa mayai yaliyoharibika

Sent from iphone 7 plus
 
Na kwa nini ufanye mapenzi siku ukiwa period jamaan Mungu ana maksudi yake jamaan katika siku 30 kupumzika siku 3 au 5
Tatizo unajua uko period afu unakunywa bia za mtu, unamwomba hela ya saloon mtu, unaitwa kutolewa out Kempisk unabeba na ped zako, sasa hapo mtaishia kutuona wanaume wabaya
 
Back
Top Bottom