Mjadala: Hivi suruali ya kiume inatakiwa iwe na upana upi?

Christopher Wallace

JF-Expert Member
Dec 8, 2015
1,397
3,487
Kwa siku za karibuni kumekuwa na mjadala wa vijana wa kiume kuendana na wakati. Ambapo kwenye suala la mavazi haswa suruali kumekuwa na mitizamo tofauti.

Kuna wanaobana sana suruali bila kujali ni jeans au ya kitambaa, kiasi cha kukamata mapaja mpaka chini kwenye turn up. Pia wale wengine huvaa suruali kama jamaa wa dini flani.

Kuna wanaovaa saizi ya kawaida kutokana na miili yao ilivyo halafu kuna wale wanaovaa "mabwanga".

Je ipi ni saizi ya kawaida ya suruali ya kiume? Inayobana, kawaida au bwanga?

Karibuni kwa mjadala
20190923_180058.jpeg
 
huyo aliyevaa ya blue chini naona ndio angalau kdg, chini inc 14 sio mbaya japo mm naongeza kdg.

Pia hii huendana na mwili,
hua sipendi soksi ionekane, iwe kwa sbb suruali imebana au fupi, na sipendi suruali ndefu mpk ijikunje hasaa kitambaa, kwaio hua naweka size zote constant.
 
Kwasiku za karibuni kumekuwa na mjadala wa vijana wa kiume kuendana na wakati. Ambapo kwenye suala la mavazi haswa suruali kumekuwa na mitizamo tofauti.

Kuna wanaobana sana suruali bila kujali ni jeans au ya kitambaa, kiasi cha kukamata mapaja mpaka chini kwenye turn up. Pia wale wengine huvaa suruali kama jamaa wa dini flani.

Kuna wanaovaa saizi ya kawaida kutokana na miili yao ilivyo halafu kuna wale wanaovaa "mabwanga".

Je ipi ni saizi ya kawaida ya suruali ya kiume? Inayobana, kawaida au bwanga?

Karibuni kwa mjadalaView attachment 1214281
Suruali ya mwana aliyenyoosha mkono iko poa zaidi.
 
Kila MTU ana Uhuru wa kuvaa anavyotaka!kwangu Mimi siwezi kuvaa suruali pana coz hazinipendezi kabisa,siwezi kujizeesha kizembe natupia vitu Italian style
 
Back
Top Bottom