Mjadala: Gharama na njia nafuu za kujenga nyumba ya kuishi Tanzania

bachelor of agriculture economy and agribusiness in tanzania jamani mwenye ujuzi
 
Mm nlijenga nyumba yangu huku kijijini kwetu moshi
Kiwanja ni cha uridhi
Nyumba ya vyumba vitatu na choo ndani +sebule na baraza mbele

Kupandisha boma nilitumia 3ml tofali za new land za kuchoma na mawe ya chupa lorry
Mchanga lorry 2@180000
Mawe lorry 4@90000
Cement 25@14500
Funding 350000
Nondo20ml12@18000
Tofali lorry2 @47000
Saidia fundi nkawa mwenywe mwanzo mwisho kitambi yote ikaisha

Baada ya hapo nkatulia kwa muda

Mwezi wa pili nkatumia 2.7ml kupauwa na nkahamia
Mbao 3×4 150@6000
Bati za kawaida 60×18500
Misumar kg25(sikumbuki being
Funding 500000
Dirisha 4@90000 za chuma
Nkaziweka vioo zote( sikumbuki ni ela ngap)

Nkahamia na watoto na wife na sasa hivi wife mjamzito

Haina plaster vyumbani wala tiles choo na bafu natumia vya nje na jiko langu LA kuni maisha yanaendelea namalizia nkiwa humo humo ndani

So ww jenga tu ukifuata maneno ya watu huku ndani utaishia kusugua pymbu kwenye vijumba vya kupanga tu
Sasa Mangi ujauzito wa wife unaingiaje kwenye mada hii? No connection kwa kweli bwaashee
 
Habari Wakuu!! Nina kiwanja changu ukubwa 30-20. Udongo wake ni Mfinyanzi nipo nje kidogo ya mji kama Km 4 hv na nina mdoto ya kujenga nyumba ya kawaida ila iwe angalau na kigorofa cha chumba kimoja

Ni nini napaswa kuzingatia kabla sijaanza chochote? na je kwa ukubwa huu naweza kufanya ujenzi huo?
ukubwa wa kiwanja unatosha kabisa mkuu. kwa ishu ya udongo hapo kikubwa ni kwamba msingi utakwenda chini sana (deep foundation) kulingana na structural design. So inawezekana muhim ni kuzingatia designing hasa za foundation kwenye structural design
 
Bosi samahani naweza pata Floor plan yake.
nimeipenda
3br hd rf.JPG
 
You are right on ur own preference... "You cant drink all day if you dont start in the morning:p"
Milango ya vyumba inatakiwa isitazamane moja kwa moja. Hata ule mlango wa master bedroom umekaa vibaya kwa vile ukiwa wazi mtu hawezi kwenda bafuni kuoga kukiwa na watu hapo dining area. Ni ushauri tu wa kuwasaidia kuboresha design zenu zijazo!

Sure! You can't drink all day if you don't start in the morning!!!! You gotta start early
 
Milango ya vyumba inatakiwa isitazamane moja kwa moja. Hata ule mlango wa master bedroom umekaa vibaya kwa vile ukiwa wazi mtu hawezi kwenda bafuni kuoga kukiwa na watu hapo dining area. Ni ushauri tu wa kuwasaidia kuboresha design zenu zijazo!

Sure! You can drink all day if you don't start in the morning!!!! You gotta start early
Yeah boss upo sahihi, nimesema in ur preference coz hata hiyo ilikuwa preference ya mtu, ni kwamba huwezi kumsatisfy kilamtu at the same time.. mimi nna design nyingi kuliko maelezo, nmepost hyo coz jamaa alitaka simple/lowCost.... nikikutumia plan ya ramani kama hizi hapa chini you will agree with me.

3rums pg..jpg
0.JPG
3br library n parking..jpg
 
Kwanza kwa wote mliochangia hii post nawaomba niwagongee senksi,kwa sababu ile kitufe cha kubofya senksi hakionekani kwangu.

Pili kuna nyumba (flat) ni mpya vya vyumba vitatu inauzwa kwa milioni 53 hapa Tanga.

Naomba wadau mniambie ni deal nzuri kununua au ni vizuri kujenga mwenyewe kwa hapa Tanga?

Asanteni.

Kitufe kipo bana
 
Sasa Mangi ujauzito wa wife unaingiaje kwenye mada hii? No connection kwa kweli bwaashee
Mkuu hujamuelewa, anamanisha ktk mazingira ya nyumba yake hyo ambayo haina hata plaster bado kila kitu kinaenda vyema, ikiwa pamoja na performance ya kitandani Kati yake na mke wake....
 
Nataka nyumba yangu ya tofali iwe na gabion upanfe mmoja na upande mwingne iwe ni full glass juu mpaka chini, je kioo kinene kina gharama gani??
 
Kwa haraka haraka nitakupa makadirio maana ndizo kazi zangu hizo chukua square meter za ramani yako times 500,000 utapata garama ya morden house with everything you need.

Kama hujaelewa nina maana Urefu X Upana X 500,000=Construction cost

Hapo nina maana unatumia mkandarasi.
Hii hesabu mbona inagoma.!
 
24 Reactions
Reply
Back
Top Bottom