kimanganuni
JF-Expert Member
- Dec 14, 2015
- 321
- 164
Kweli
hii ilikuwa takwimu ya lini!? Kuna update ama bado iko vile vile!?Kwa haraka haraka nitakupa makadirio maana ndizo kazi zangu hizo chukua square meter za ramani yako times 500,000 utapata garama ya morden house with everything you need.
Kama hujaelewa nina maana Urefu X Upana X 500,000=Construction cost
Hapo nina maana unatumia mkandarasi.
Inakubidi ujue kwanza vipimo halisi vya jengo lako,angle ya mnyanyuo wa paa la nyumba yako,aina ya bati utakalopaulia nyumba. Baada ya hapo ndio unaweza kufanya mahesabu ya idadi ya bati na kiasi cha mbao zitakazohitajika kufanya kazi hiyo.Ndugu kuna ksnuni gani ya kupata idadi ya bati na mbao za kupaulia nyumba?
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, nina kiwanja cha square kilometer 400, nimeshazungusha ukuta upande mmoja bado pande tatu ni kama tofali elfu 2 kasoro hivi za nchi 5 na 6 jumla.
Nipeni gharama zake au fundi mzuri aende aone site then tuongee bei.
Contacts 0716282670.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Naam,prefab houses zinapatikana hapa tanzania. Kuna makampuni yanafanya kazi hizo kwa sasa.Mada imepamba moto; naombeni kujua, hivi kwa hapa Tanzania nikitaka prefabricated houses zinapatiakana? Kwa yeyote mwenye kufahamu naomba anisaidie kujua katika hilo kwa undani
Robo saa ndo umbali gani!!??
Robo saa kwa miguu au kwa gari? Kama ni kwa miguu vipi kwa mlemavu wa miguu naye atatumia robo saa kutembea!!? Tuwe serious.
Kwanini usiweke umbali halisi kwa KM?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijakuelewa vizuri mdau,unataka kupewa tips za michoro au unataka michoro kutoka kwa wataalamu?Msaada kwa wataalamu na tips za michoro na ushauri kutoka kwenu wadau.nina m5 nmejchanga changa naitaj kamjengo angalau vyumba 2 na sebule na jiko. Choo ndan cha public.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bei nafuu ndio Tshs ngapi!?Tunachora Raman za majengo kwa Bei nafuu
Call 0673586009
Location Dar es salaam
Mhhhhii ilikuwa takwimu ya lini!? Kuna update ama bado iko vile vile!?
Kuna mmoja kasema ukitaka kujenga anza na 110m hadi nimeogopaNimegundua humu tunatishia wengine ooh kama huna m20kwenda juu hujengi ila ninacho amini mimi ukitaka kujenga wewe jenga tu
Nb=》》inategemea na mfukoni mwako
Mpaka finishing haiwezi kutosha mkuu,kwanza hapo ktk m.5 toa m.2 ya tofali.Ninahakika ktk ramani ya iyo lazima ziingie tofali 2000
Utakuta umebakiwa na m.3 sasa fundi mpk kuimaliza kujenga iyo nyumba atataka pengine laki nane mpka milioni moja.....
Utabakiwa na m.2 bado kupauwa ambapo hapo ndio pazito na hujachimba shimo la choo na ukatengeneza mwisho kabisa finishing pia pazito hapo mkuu ila anza ivyo usirudi nyuma ujenzi huwa hauwishi kwa siku moja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Upo sahihi sana ndugu mie nilikua na iyo hela nikaanza na chumba kimoja seble choo cha public na jiko nw nyumba yangu INA vyumba vitatu vya kulala kujenga n taratibu anza tu ivo 2
Sent using Jamii Forums mobile app