Jamani naomba niulize kwa wana JF ambao ni wataalamu wa ujenzi.
Naomba wanipatie bajeti ya kujenga nyumba ya kawaida yenye vyumba 5, sebule, kitchen, dinning na sitting room ina cost kwa makisio shilingi ngapi?
Naomba nielimishwe,
Asanteni.
======
SIMILAR CASES:
Hii imekaa sawa kweli? ina maana kwa nyumba ya vyumba 5 alioulizia mkuu inaweza kuwa around Tzsh 25 - 30 Million?.
Hii ukikadiria kwamba kila chumba kitakuwa na ukubwa wa 10 square meters. ((10 x 5) x 500,000) = 25,000,000.
Kwa utaratibu huu mbona gharama zitakuwa ni ndogo ukilinganisha na gharama tunazozisikia kila siku?
Ni heri ujenge mwenyw tu maan uwatumia mafundi Wa kawaida sidhani kama itafika bei hiyoKwanza kwa wote mliochangia hii post nawaomba niwagongee senksi,kwa sababu ile kitufe cha kubofya senksi hakionekani kwangu.
Pili kuna nyumba (flat) ni mpya vya vyumba vitatu inauzwa kwa milioni 53 hapa Tanga.
Naomba wadau mniambie ni deal nzuri kununua au ni vizuri kujenga mwenyewe kwa hapa Tanga?
Asanteni.
Nimeona sample ya nyumba zenu; hadi hivi sasa nina 20M kwaajili ya kupata makazi/nyumba ya kuishi either kwa kujenga or kununua ndani ya mkoa wa Dar es salaam.Kwa Ujenzi wa Nyumba Kama Hii Nzuri Yenye Ubora yenye Urefu wa Mita 18 Kwa Mita 12 Unahitaji Kiasi Cha Tsh Milion 55 tu Kwa Ajili ya Kumiliki Nyumba Kama Hii Tuwasiliane Kwa Namba Hizo chini Kwa Ushauri Mbalimbali wa UJENZI wa Nyumba za Makazi Mfano Ghorofa na Nyumba za Kawaida Pamoja na Nyumba za Biashara ,Mashule
Tupigie kwa:-
0715-908698(Call/Whatsaap)
0759-538688(_Call)
0738-885806(TTCL Call)
ONE2ONE FOCUS TANZANIA
ONE2ONE FOCUS TANZANIA LTD
MAKUMBUSHO COMPLEX STENDI JENGO LENYE ATM YA CRDB(Floor ya Kwanza)
Tunajenga na Tunasimamia Ujenzi wako Kuanzia Hatua ya Awali Foundation Mpaka Finishing Sambamba na Kufuatilia Kibali cha Ujenzi na Kutengeneza Ramani ya Nyumba yako
Pia Tunafanya Interior Design ya Ujenzi na Majengo Mbalimbali
Pia Tutatengeza Ramani na Kuandaa BOQ ama Makadirio ya Ujenzi wako Kwa Gharama Nafuu Kabisa
NB;Tunajenga Kwa Malipo(Cash) na Sio Kwa Malipo ya Mkopo.
Tupitie kwenye Tovuti yetu hapo Chini
follow a link to this website: http://one2onefocustanzania.co.tz/ @ Dar es Salaam, Tanzania @ Dar es Salaam, Tanzania
Karibu sana ofisini kwa ushauri na Kazi za UJENZI
Tunajenga Ujenzi wa Kuanzia Hadi Tsh Milion 20 na Kuendelea
Tuna MAFUNDI Waliobobea na Utaalamu wa Hali ya JuuView attachment 890381View attachment 890383
Nimeona sample ya nyumba zenu; hadi hivi sasa nina 20M kwaajili ya kupata makazi/nyumba ya kuishi either kwa kujenga or kununua ndani ya mkoa wa Dar es salaam.
Naombeni msaada katika kutimiza lengo langu la kuwa na makazi bora ndani ya miezi sita kuanzia sasa.
KIWANJA KINAUZWA TABATA KINYEREZI. - JamiiForums
KIWANJA KINAUZWA TABATA KINYEREZI. View attachment 1003624View attachment 1003626
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukubwa wa Kuanzia 20m X 17mBei gani na ni ukubwa gani? Pia kipo umbali gani kutoka stand ya kinyerezi mwisho
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpaka finishing haiwezi kutosha mkuu,kwanza hapo ktk m.5 toa m.2 ya tofali.Ninahakika ktk ramani ya iyo lazima ziingie tofali 2000
Utakuta umebakiwa na m.3 sasa fundi mpk kuimaliza kujenga iyo nyumba atataka pengine laki nane mpka milioni moja.....
Utabakiwa na m.2 bado kupauwa ambapo hapo ndio pazito na hujachimba shimo la choo na ukatengeneza mwisho kabisa finishing pia pazito hapo mkuu ila anza ivyo usirudi nyuma ujenzi huwa hauwishi kwa siku moja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kwa kunitia ufahamuFlat Roof ni nafuu ila ina changamoto nyingi za kiufundi kuliko normal roof flat roof inakuwa na slop ndogo hivyo ni rahisi kuvuja katika misumari, pia flat roof ukuta unakuwa unaloa mno hivyo kupelekea ukungu katika kuta na some times maji kupenya ndani katika ceiling board
Robo saa ndo umbali gani!!??Ukubwa wa Kuanzia 20m X 17m
Mpaka 30m X 30m
Bei inaanza 15mil kwa 20 X 17
ENEO Kinyerezi Mwisho.... Shule ya Msingi Kibaga barabara yakwenda SONGAS
UMBALI WA ROBO SAA TU MPAKA KUFIKA ENEO LA KIWANJA HUSIKA KUTOKEA KINYEREZI MWISHO.
Sent using Jamii Forums mobile app