Mjadala: Gharama na njia nafuu za kujenga nyumba ya kuishi Tanzania

Milion 25 ni Nyumba ya Chumba kimoja,sebule , dinning,jiko na Choo kimoja plus quality materials ndio Milion 25
Mhhh,mkuu masihara hayo Mtanzania anayetaka kumkimbia Baba Mwenyenyumba sidhani kama anaitaji hayo material ya quality,ebu fafanua vizur maerio ya kawaida huwezi kujenga vyumba viwili vya kulala na kimoja kikawa master??
 
Mhhh,mkuu masihara hayo Mtanzania anayetaka kumkimbia Baba Mwenyenyumba sidhani kama anaitaji hayo material ya quality,ebu fafanua vizur maerio ya kawaida huwezi kujenga vyumba viwili vya kulala na kimoja kikawa master??
Fika ofisini kwa Technical Details maana kuna Detail's Hapa Hatuwezi elewani na cost ya ujenzi itakuwa Juu ama normal Kutokana na Mteja anahtaji nini so Tuwasiliane inbox 0715-908698 au Fika Ofisini Tupo MAKUMBUSHO DAR ES SALAAM
 
Usihofu mkuu Mashauri,

Mambo yako yakiwa sawa ni PM tu tutapanga namna ya kukutana tushauriane,mara nyingi watanzania hatuna tabia ya kutambua profesional za watu huwa tunachukulia kila kitu tunaweza,hasa suala la ujenzi angalia nyumba nyingi sana zina nyufa muda mfupi tu baada ya ujenzi lakini yote haya yangeweza kuepukwa ikiwa tu utatafuta wahusika wakakupa njia mbadala za kuzuia hiyo hali kutokea.

Kama umefuatilia pia nyumba nyingi rangi za chini baada ya tofali za msingi zinabanduka kutokana na ukuta kuwa unapandisha maji juu mambo haya ni madogo sana ila yana athari kubwa kwa nyumba na watu wanapuuzia tu kufuata taratibu ndogondogo za ujenzi inawezekana ni kwa kujua na kukwepa garama au kutokujua kwa kutumia mafundi wasio wazoefu.

Tumia utaalamu wa wenzako kwa kulipia garama ndogo tu ila utaokoa mengi,mfano mimi ninapokuwa naingia mikataba na wateja wangu nawatumia mawakili wazalendo kuandaa mikataba na kuwalipa ujira tunaokubaliana japo naweza kuandaa mikataba mwenyewe lakini najua kuna kipengele mwanasheria anaweza weka kikanilinda mimi au mteja endapo yoyote kati yetu atafanya ujanja kwa mwenzake hiyo ndo namna tunavyoweza heshimu na kuwaunga mkono wataalamu wa ndani.

Pia ninashauri kwa wanaojenga ujenzi ni garama ni bora ukajenga nyumba ndogo lakini yenye kufuata taratibu zote za ujenzi kuliko nyumba ya vyumba vitano halafu kwa kulipua tu.
Mkuu nyumba yangu rangi inabanduka afu chumvi zinapanda ukutan. Nifanyeje kuzuia?
 
Gharama ya kujenga nyumba inategemea ni nyumba aina gani unaitaka, ni single or double storey etc.

Unajenga mkoa gani, ipo karibu au mbali na mji, material gani unataka kutumia, labour cost, unataka professional au mafundi wa mtaani, quality ya material etc,

So mimi nakushauri tafuta Architect akuchoree ramani, Structural Engineer kwa ajili ya michoro ya columns etc. then mpe Quantity Surveyor mchoro yeye atakupa estimate, BUT estimate nyingi wanazotoa Quantity Surveyors huwa naona wanazidisha mara mbili ya gharama.
Actually quantity surveyor ni wataalumu wa gharama za ujenzi. na nipingane na mkuu hapa kidogo kuwa tunatoa gharama ambazo ni mara mbili ya uhalisia, isipo kuwa tunachofanya ni kureflect uhalisia. isipokuwa suala la nyumba za low cost imekuwa ni mada ambayo haieleweki kisawasawa kwa wateja wengi. kwa mfano huyu jamaa hapo juu mfano wake ni nyumba ya vyumba vitano, ambapo kimsingi mara nyingi watu wakisema vyumba vitano wanakuwa wamemanisha bedrooms nahivyo hizo kitchen, sitting room huwa sio miongoni kimsingi hii nyumba ni kubwa sana japokuwa dhana ya low cost housing pia inawezekana mana sasa utaangalia vitu kama vile design, finishing materials and type of finishings, appliances, fittings etc. isipokuwa maranyingi inatakiwa wazo lako uwashilikishe wataalamu kuanzia stage ya awali ili wakupe upembuzi yakinifu. kwa mfano mafundi wengi wamekuwa wakiwafanyia wateja wao vituko ambavyo mimi kama mtaalamu huwa nasikitika sana, nimekutana mara nyingi na nyumba zina roof iliyonyanyuka hata zaidi ya angle 45 degrees , fundi anakwambia bati likinyanyuka sana mimi ndo nasifiwa fundi mzuri napata wateja wengi wakati kimsingi anamuumiza mteja wake. zamani wakati tunasoma tulijifunza kwenye inch zenye snow ndiko roof zinachorongwa hivo ili kuto kuruhusu barafu kuganda juu ya nyumba lakini bongo wanasema fasion. na hii inapelekea eaves kutafunwa hadi nyumba zingine nimeona imelazimika madirisha kuyawekea vipaa vya kuzuia maji.
Kimsingi Low cost housing inaanza na design halafu tutafuata maeneo fulani katika finishing, na aina ya materials ila kimsingi wateja wetu mnatakiwa muelewe low cost housing haimanish tupate nyumba ya kiwango kibovu so don't think you can get something good at poor price.
 
Gharama ya kujenga nyumba inategemea ni nyumba aina gani unaitaka, ni single or double storey etc.

Unajenga mkoa gani, ipo karibu au mbali na mji, material gani unataka kutumia, labour cost, unataka professional au mafundi wa mtaani, quality ya material etc,

So mimi nakushauri tafuta Architect akuchoree ramani, Structural Engineer kwa ajili ya michoro ya columns etc. then mpe Quantity Surveyor mchoro yeye atakupa estimate, BUT estimate nyingi wanazotoa Quantity Surveyors huwa naona wanazidisha mara mbili ya gharama.
duuuuhh . . . .wanazidisha gharama tena, . .kwa usawa huu . . . .noma sana
 
Nataka jenga mwaka huu.
Kuna fundi amewahi jenga gorofa 5 na 1 zote nimeshuhudia, alinambia vyumba 2 kati yake 1 Master, public, dining na jiko. Finished house Umeme, Maji, Aluminium Grill

Nimpe 22-25mil miezi 3 ananipa funguo
 
Kitu hiki kwenye plot ya 34'length 23'width kinakaa? na je una project ya mfano huu uliyoikamilisha any where nikupe kazi!...je roughly kabla sijaja kuomba BOQ kinu hiki hadi juu bila paa nitafukia bei gani....unapatikanaje Dar
ID_24504_Perspective_3.jpg
IMG_20180607_234037_506.jpg
 
Kitu hiki kwenye plot ya 34'length 23'width kinakaa? na je una project ya mfano huu uliyoikamilisha any where nikupe kazi!...je roughly kabla sijaja kuomba BOQ kinu hiki hadi juu bila paa nitafukia bei gani....unapatikanaje DarView attachment 797196View attachment 797201


Sorry Kwa Changamoto ya Kimtandao Kwani Roughly Hiyo ni Si Chini ya Tsh Milion 120 so Kwa Maelezo zaidi Fika Ofisini Makumbusho AKwa Ajili ya Technical Estimates ya UJENZI Mzima Huo na Tuwasiliane Kwa 0715-908698 au 0759-538688 naitwa OMARI RAJABU
 
Mhhh,mkuu masihara hayo Mtanzania anayetaka kumkimbia Baba Mwenyenyumba sidhani kama anaitaji hayo material ya quality,ebu fafanua vizur maerio ya kawaida huwezi kujenga vyumba viwili vya kulala na kimoja kikawa master??


Tuwasiliane Nyumba za Gharama nafuu Pia Tunajenga
 
Nyumba gharama hutokana najinsi miliki anavyohitaji iwee namaterials plus eneo hapo kutaja hivyo vitu inakua nirahisi kuastmate bei
Asante
Mr goodluck frednand
 
Kwanza kwa wote mliochangia hii post nawaomba niwagongee senksi,kwa sababu ile kitufe cha kubofya senksi hakionekani kwangu.

Pili kuna nyumba (flat) ni mpya vya vyumba vitatu inauzwa kwa milioni 53 hapa Tanga.

Naomba wadau mniambie ni deal nzuri kununua au ni vizuri kujenga mwenyewe kwa hapa Tanga?

Asanteni.
Mbona ghali
 
Back
Top Bottom