DesertStorm
JF-Expert Member
- Nov 22, 2015
- 2,385
- 1,566
Mkuu Sirajj! Nyumba kama hiyo yenye vyumba viwili na master bedroom + toilets kwa kila room na public toilet, Wiring, System ya maji n.k. kwa ngapi?
Staff MatePia waweza tembelea tovuti yetu ya www.eyes on properties.co.tz
Site ni Yako na Ujenzi wa Nyumba Hiyo ni Cost ya Kila Kitu kinachohitajika Katika Ujenzi kuanzia Foundation Mpaka FinishingJe hiyo nyumba ya 25m ni yenye sifa zipi, pia inakuwa pamoja na site au site ni yangu?
Kwa makadirio ya kawaida ni million 40 ila bei inaweza kuongezeka au kupungua kutokana na materials tutakayo yatumia karibu sana kiongozi .View attachment 692319
Mkuu Sirajj! Nyumba kama hiyo yenye vyumba viwili na master bedroom + toilets kwa kila room na public toilet, Wiring, System ya maji n.k. kwa ngapi?
Fensi ni juu yako mtejaNa fensi pia juu yenu?
Ok, hivyo kwa 25M napata nyumba ya vyumba vingapi na kuna vitu gani zaidi vingine?Site ni Yako na Ujenzi wa Nyumba Hiyo ni Cost ya Kila Kitu kinachohitajika Katika Ujenzi kuanzia Foundation Mpaka Finishing
Vyumba viwili jiko, stole, dinning na public toilet karibu sana kiongoziOk, hivyo kwa 25M napata nyumba ya vyumba vingapi na kuna vitu gani zaidi vingine?
Sent from my Redmi Note 4 using JamiiForums mobile app
Ok karibu sana kiongozi wangu tupo kwa ajili yako kukupa Huduma bora ya ujenzi na kwa gharama nafuuAsante sana Mkuu Sirajj...watanzania washindwe tu kujenga aise,, kwa nyumba kama hiyo niliokuonyesha ya viumba vi 3 bei cheaper kabisa. Ukilinganisha na za nssf vinyumba vidogo unauziwa bei chee/kubwa. Shukran kiongozi, acha tujipange sasa
Ok karibu sana kiongozi wangu tupo kwa ajili yako kukupa Huduma bora ya ujenzi na kwa gharama nafuu