ITEGAMATWI
JF-Expert Member
- Jan 26, 2012
- 5,310
- 4,040
Attach price katika hizo picha za nyumba mkuu
Kwa Ujenzi wa Nyumba
Kwa Kutumia
1.Tofali za Aina Mbalimbali Kuanzia Chipping na Kawaida
Kwa Ujenzi wa Nyumba Kuanzia Tzs Million 25
follow a link to this website: Eyeson - properties and real estate
Nae pia ni staff wetu kiongozi ahsante sanahiyo picha ya pili kutoka mwisho si ilishapostiwa ktk thread ya pettymarcel??
Nawe karibu sana mkuuWatakutafuta tu
Kiongozi huyo Dada petty ni miongoni mwa staff wa eyeson so usijali karibu sanaPicha ya kwanza sio yako Mzee...
Weka kazi zako, achana na portfolio za watu..
Mkuu hii ni Nyumba ya mteja ambaye alihitaji Ramani yake iwe hivi karibu sana mkuuHii milango miwili kwenye hii nyumba hapa mbele ni wa kuingia au kutoka wapi na wapi?
Ok kiongozi karibu sanaAttach price katika hizo picha za nyumba mkuu
basi sawaNae pia ni staff wetu kiongozi ahsante sana
Shukran sana kiongozi kwa kuweza kutuelewa na karibu sana tukujengee kwa gharama nafuubasi sawa
Shukran sana kiongozi kwa kuweza kutuelewa na karibu sana tukujengee kwa gharama nafuu